kikosi cha mauaji cha minnesota kabla ya gemu
mapumziko na mawaidha, na chini ni kikosi cha kwanza cha minnesota
Kabla ya Ali Kiba kutoa burudani ndani ya mji wa Wichita, Kansas City, kulikuwa na mpambano mkali wa soka kati ya wageni Minnesota na wenyeji Wichita. Minnesota waliwaadhibu wichita 4-1. Ali Kiba alikuwepo uwanjani na alionekana akiwa kwenye benchi la Minnesota, na baadaye usiku akatumbuiza

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Ahh hawa jamaa walionyesha kiwango cha juu maana walikuwa wanakula gonga kwenda mbele.Jamaa wa Wichita walionekana kuchanganyikiwa na kugombana uwanjani baada ya kutohamini kupigika na wazee wa MN.Mpira ulikuwa mtamu na tunashukuru hakuna lilioaribika ...Hongera kwa washindi

    ReplyDelete
  2. Duh hawajamaa hawajakaa kimchezo lakini kumbe wanauweza maana walitandaza kabumbu balaa na kuwaacha wenyeji wao kutukanana uwanjani.
    Mpira ulikuwa mtamu na hakikuaribika kitu.Marudiano lini?

    ReplyDelete
  3. Wichita Kansas na sio Kansas City!!

    ReplyDelete
  4. Daah jamaa wamependeza kama Brazil vile na kabumbu waliyoionyesha itabidi wazee wa Kansas tuanze mazoezi na kuomba mechi ya marudiano.

    ReplyDelete
  5. aaah nawaona wazee! Riwa sikujui kuwa bado unalisakata..Dave wapi rasta ziku hizi? N'ways keep it up guys! Lets keep Minnesota juu.

    ReplyDelete
  6. Jamaa walicheza fresh and they deserved a W,tatizo timu hii haikuwa toka Minnesota only bali ilikuwa combine ya Minnesota,New York na Houston.Jamaa toka H-town wanajua habari ya Wichita.Ushahidi?Ingia www.tunyfish.com.
    Pia,it's Wichita,Ks not Kansas City.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...