Huyu ndiye mbunge mpya wa Tarime Mh. Charles Mwera (shoto) akiwa na diwani mpya wa jimbo hilo Mh. John Heche

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Raisi Kikwete, tulilikoroga wenyewe tuendelee kulinywa tu!

    Hivi kwa nini hatuna kamati ya uhakika ya kuwafanyiwa wagombea wetu vetting! Hii ni aibu kubwa sana katika mkoa wa muwasisi wa chama chetu cha Mapinduzi.

    Nimeamini kuwa hata Musoma mjini kumbe hata Wandwi alikuwa ametushinda lakini basi Mungu tusamehe sana .....
    2010 hatutakubali akiteuliwa asiyenadika tutahama chama

    ReplyDelete
  2. HONGERA sana makamanda. Waongoze vyema wapiganaji wa tarime, wapate maisha bora, na wawe mfano wa kuigwa na majimbo mengine yanayodanganywa kwa kofia, fulana na khanga. Ninapendekeza Tarime itambuliwe na kutangazwe na wapiganaji wote wa tanzania kuwa MAKAO MAKUU ya kampeni tutakayoibatiza "TANZANIA BILA CCM INAWEZEKANA". Ukiwekwa utaratibu mzuri tupo wadau wengi ambao tuko tayari kuchangia linalowezekana. Hii maana yake ni kwamba, vijana watatumwa kutoka majimbo yote tanzania kuja tarime kujifunza mbinu za kuendesha kampeni hiyo. Wapiganaji mnasemaje?

    ReplyDelete
  3. Wamekalia kabisa kama ni wapiganaji.Aise siasa za kwetu zimekuwa ni vita tu hakuna tena hoja.
    Haya inshallah tutafika.

    ReplyDelete
  4. SAFI SANAAA CHADEMA HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE

    ReplyDelete
  5. HONGERENI SANA WANA TARIME, NDIVYO WATANZANIA TUNATAKIWA TUWE< SIO KUDANGANYWA NA VI TOSHIRT NA KOFIA THEN MAISHA YANAZIDI KUWA MAGUMU

    ReplyDelete
  6. Hatimae zama zimekwisha,hongereni wana Tarime kwa kuamka,watu wanamateso ya ELIMU DUNI,MADAWA HAKUNA,UMEME HAKUNA,BALABALA MBOVU,AJIRA HAKUNA DHIKO IPO Leo unapewa kofia na fulana ya njano yenye picha ya mtu anacheka unasahau shida zote sasa ni vyema kutozipokea tena fulana hizo.HONGERA TATAA MWERA.

    ReplyDelete
  7. Huu ushindi haukupatikana kirahisi.Umekuja baada ya watu kukubali wapigwe mapanga lakini haki yao wakailinda. Sijui kama majimbo mengine wako tayari kuyakabili mapanga na FFU kama hawa wa Tarime. Hii ndiyo NGANGARI ya kweli siyo ile ya CUF ya mdomo mtupu.Inasikitisha lakini hapa ndio CCM wametufikisha.

    ReplyDelete
  8. We anony wa oct 14 5:57 unaishi dunia ya wapi? sasa hivi nchini bongo tuna adui mkubwa anayeitwa FISADI (ambaye yeye hutinga suti ya ulaya kumbe ndani ni mwizi, na kukudanganya mtu kama wewe umwone kuwa amestaarabika). Huyu ndiye tunapigana naye na katika vita hii dhidi ya MAFISADI "wapiganaji" (sio wa silaha, bali wa hoja na vitendo)wanadhihirisha sura zao za kweli hata katika mavazi kina nafasi inaporuhusu. Usifikiri kila anayevaa suti ya ulaya ni mstaarabu na ana hoja.

    ReplyDelete
  9. Hivi CHADEMA ndo wanafaa uniform siku hizi kama CHINA ilivyokuwa zamani, haya ni mambo ya MBOWE siyo? MBOWE inspared them to wear those army like cadets innit?

    ReplyDelete
  10. TARIME BILA CCM IMEWEZEKANA, TANZANIA BILA CCM INAWEZEKANA.

    ReplyDelete
  11. ni vizuri sana wadugu wa tarime ccm inatakiwa isuswe na kila jamii inayoitakia nchi hii mema.

    ni mfano mzuri kwa wananchi wote

    Mangi wa K'koo

    ReplyDelete
  12. Uniform ni nini? mbona ccm na malimbukine wengine wanavaa uniform kama za bush wa marekani? ni uniform ipi iliyo bora kuliko nyingine, ya mao au ya bush? zote ni uniform tunazovalishwa na mabwana zetu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...