Hello Michuzi,
Naomba nitumie blog ya wananchi ili kuweza kuwapata watanzania waishio Nijmegen Uholanzi.Kwa wote watakaopenda kuwasiliana na kutembeleana naomba tuwasiliane kwa email
mawasiliano ya simu yatafaata baada ya emails.
Mathias

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kijana Mathias Msafiri Igulu (Zwalaga), mambo vipi, bdo unafika kijiwe cha break-point, nasikia siku hizi kuna Makange. Tutakutana hapo Kiongozi, baada ya kutoka field baharini, jee utanijua?. Mpe Hi kijana Peter, mwambie mambo ya Soseji....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...