Kaka Michuzi Habari
Mie ni mmoja kati ya wapenzi ya blogu hii nimeonelea nitoe tangazo kupitia globu yako hii kama utaniwezesha picha hiyo kwenye attachment ni ya mdogo wa rafiki yangu ametoweka nyumbani kwao toka siku mmoja kabla ya idd fitri mpaka leo hatujui yuko wapi ningependa na kuomba unirushie tanganzo hilo kwenye blogu ya jamii.
Regards:
George R. Wandwallo
Juction kunduchi/Tageta
HOPAC
BOX 70027
TEL:255-22-2650609/469
Fax:255-22-2650364
DAR-ES-SALAAM
TANZANIA
web: www.hopac.net
Hello Mhe. Balozi,
ReplyDeleteIngekuwa vema tujulishwe pia umri na urefu wa huyo anayetafutwa, kwani hatuwezi kujua kwamba picha hiyo ilipigwa lini.
Asante sana kwa juhudi zako katika Blog hii ya jamii!