kuna mdau kaniletea hii nguna akinitaka ninawe mikono. halafu nilivyo na njaa, denda lanitoka..

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. The art of food. Ugali kuukanda hivyo unatamanisha sana.

    Hapo nahitaji majani ya kunde, maziwa ya mgando na maharage ya nazi.

    ReplyDelete
  2. Hapo bwana, vua shati tundika pembeni, chukua picha yako ya samaki wa kukaanga, yule unayempenda kabisa.

    Hata ukisikia moto upo nyumba ya pili, utaamua kumalizia ugali wako tu.

    Mdau,
    Ughaibuni

    ReplyDelete
  3. anoni umesahau na dagaa wa kukaanga na masalo.

    ReplyDelete
  4. Namna gani mdau anakuletea kiporo tena...

    ReplyDelete
  5. Huu ugali kwa kuutazama tuu ni very neutrisious.....hindi limesagwa kama lilivyo na hakuna kiini-lishe kilichoondolewa...nimeshtuka na dhana ya kukoboa mahindi ili usage unga ji dhana potofu.....ganda la mbegu ya mhindi ni fibres tupu ambayo ni makosa kuikoboa......anyway i was just thinking aloud (by fingers)

    ReplyDelete
  6. Mmh wapendwa, mbona ugali umekauka kabisa, mnaanzia wapi kuutamani?

    ReplyDelete
  7. Huu haujakauka, umevaa koti tu. Ukiuvua koti bomba kabisa.

    ReplyDelete
  8. Huu si ugali wa mahindi , muhogo au nyange naona ni dunlop {dona} hivyo ni lazima uule kwa table knife na fork kama--naugopa kutaja kabila ya mtu-
    Wakatabahu

    ReplyDelete
  9. Baba mkwe misupu, mbona umetengenea kreta hapo juu halafu unatuzuga ulitakiwa unawe?

    ReplyDelete
  10. apa ni maharage ya nazi,vijidaga vya kukaanga wakiwa na pilipili,nyanya chungu,tembele la ndimu
    juice ya mix,na matunda,,,hiki ndo chakula asilia yetu na vere nutrishaz

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...