vijana wanaowania nafasi za kucheza ughaibuni kwa tiketi ya vodacom wakiwa katika picha ya pamoja na makocha na viongozi wa kampuni hiyo ya simu za mkononi
vodacoma stars wakisakata kabumbu kwenye mechi ya kirafiki leo uwanja wa karume
kocha mkuu wa vijana hao akiwapa mawaidha wakati wa mapumziko
mabosi wa vodacom wakifuatilia kwa makini maendeleo ya vijana wanaowalea kuwa nyota wa baadae

Hongera VODACOM. Ehe! Huyu kaka nimesoma nae Azimio Primary Mbeya 1988 LY. Anaitwa nani vile???
ReplyDeletesafi hiyooo..taratibu 2 nasi 2taweza kuja kuwaona wachezaji we2 ktk moja ya ligi kuu za ughaibuni.
ReplyDeleteMungu Bariki TZ.
kakaa v fanya zoezi kitambi hicho
ReplyDeleteJengeni majukwaa ya kisasa kuzunguka uwanja wenye uwezo wa watu 15,000 kiwe kama chanzo cha kipato kwa TFF.
ReplyDeleteNaamini mabenki,mifuko ya fedha kama NSSF n.k wataichangamkia tenda hiyo.
Mie naomba serikali ya michezo ilitizama hili swala la watu wanaokuja kuchukuwa wachezaji isiwe kama nigeria zile wanaita Scam mambo ya utapeli kama slave trade ya football.
ReplyDelete