








Naomba weka ushuhuda huu.....na kuwaambia wale wote wenye ndugu na jamaa zao wenye haki ya kupiga kura huku Marekani wampe huyu kura huyu jamaa ili vitabu vya historia ya dunia vibadilike kwa vizazi vijavyo...
asante,
Mdau Marekani
This is absolutely BEAUTIFUL…Makes you want to cry….
This is Oregon ! I don't think that Dr King's dream saw all of this.
This is definitely beyond 'I Have A Dream'. This is the revolution being televised. Enjoy....... .....
This brought tears to my eyes….
Kweli kabisa maana hawa jamaa kwenye vitabu vyao hususani vya madarasa ya Government walidiriki kuandika kuwa "one of the characteristic of presidaa wa hii nchi ni OLD WHITE MAN" nadhani sasa wanaweza kuchapisha vingine kama jamaa mweusi atashind.
ReplyDeleteObama is the scam. We don't vote for making the history but we vote for the better of our lives. Stop scamming please, enough is enough. What I can see ahead is just another version of JK.
ReplyDeleteTanzania ilifanya kosa kubwa sana kumchagua rais kwa uzuri wa sura kuwazidi wengine. Marekani inataka kufanya kosa kubwa sana kumchagua mtu ambaye anapepeta mdomo tu.
ReplyDeleteHuyu Jamaa ametoka kwa Mungu. You cant beat God. If He says YES no body can say no. Aise!! Japo mimi sio mu-newala, lakini jamaa namkubali sana, yaani sana.God bless Obama, protect him every seconds from the enemy.
ReplyDeleteHizi Picha ni za ile rally ya mwezi May Obama alipo draw...70,000 plus people wakati ule wa Primary. Nyani McCain upo hapo?
ReplyDeleteWale walioua mbwa kule Tarime wapo? Au wanataka na haka kajibwa kapigwe mawe? Inabidi TZ ibadilike, upuuzi wa kuabudu watu kana kwamba wao ni miungu inabidi uishe haraka sana.
ReplyDeleteTanzania ilifanya kosa kubwa sana kumchagua rais kwa uzuri wa sura kuwazidi wengine. Marekani inataka kufanya kosa kubwa sana kumchagua mtu ambaye anapepeta mdomo tu.
ReplyDeleteOctober 24, 2008 3:45 AM
SIKUJUI LAKINI WEWE NI "MJINGA" SISI HATUKUMCHAGUA JK KWA SURA TULIJUA ANAWEZA SASA KAMA WEWE ULIANGALIA SURA NI MJINGA MKUBWA NA USITUFANYE NA WENGINE WAJINGA.
Ninachoshindwa kuwaelewa watoa maoni ni jinsi mnavyofananisha mambo ya USA NA TZ eti kumchagua rais kwa sura. kweli mmekwisha kabisaaa .....
ReplyDeleteKuna watu wenye CHARSMA SASA KAMA WEWE UNADHANI NI SURA POLE
ReplyDeleteJK ana nyota ya kupendwa na kuaminiwa OBAMA pia anaelekea kukubaliaka sasa hayo mambo ya sura nakushangaa.... kwanini hamtaki kukubali kuwa kunawatu wana bahati ya kupendwa tuu hata ufanyeje???
Kitu gani kinakufanya udhani Obama anapiga mdomo na si McCain? Toeni ujinga hapa. They have both been tested. What they will do differently is very minimal. The important part ni ku-change historia tu hapa.
ReplyDeleteHao wanaofananisha JK na Obama hawajakosea kwa jinsi walivyo, wanapendwa na kuwa tumaini kubwa la jamii. Tatizo letu baadhi ya watu wanataka maovu yote ya mafisadi JK ayasafishe kwa mara moja, kitu ambacho ni kigumu ktk nchi yenye utawala wa sheria. Hiyo inahitaji dictatorship, ambapo nyie ndio mtakaoanza kupiga kelele. Fikiri kabla hujalalama.
ReplyDeleteWamarekani wamechoshwa na Vita jamani!Uchumi wao umeathirika kupita kipimo na mamia kwa mamia ya wamarekani hivi sasa wamejikuta wakipunguzwa makazini na kukosa ajira.Nani mwenye akili timamu atakaye shabikia tena sera za chama cha Republicans na kukubali maisha yale yale ya miaka minane iliyopita iendelee tena kwa miaka mingine minne ijayo?HAKUNA.Wanachokifanya wamarekani hivi sasa ni uamuzi wa kuwachagua The Democrats ili waje warekebishe mambo.Hachaguliwi Obama hapa bali Democrats chama ambacho kina safu nzito sana ya viongozi waadilifu na wenye akili na busara zakuongoza Marekani imara itakayo rejesha tena heshima yake katika Umoja wa Kimataifa.I have always been expecting Obama to forge ahead until final victory into the Presidency.No doubt he is just about to make it!Not just the Great Americans,BUT,The whole World should be there to help him out make this world a more paeceful and environmentally-friendly planet to live in!. tonny.
ReplyDeleteBalozi wa Jamii,
ReplyDeleteKatika documentary film iliyopigwa na Barber Schroeder inayoitwa General Idi Amin Dada kuna maneno nayanukuu kutoka kwa General Amin.
-Lugha ya kiswahili ikuzwe ili iwe lugha kuu ya watu weusi.
-africanAmericans wajisikie wako nyumbani huko America na wajiandae kuishika nchi!(Naona Obama)
-africanAmarican wajifunze kwa bidii lugha ya kiswahili ili wajibainishe na asili ya uafrika.
Nakumbuka Balozi uliwahi kuweka clip za hiyo dokumentari, je waweza kutuwekea tena wadau wapate kuona mwona-mbali General Amin! kwani kuna mazuri pia kasema.
Kwa kifupi "HUYU NDIE". He's the chosen one. Tuombe Mungu hii historia itimie.
ReplyDeleteAnon wa 3:35AM & 3:45AM:
ReplyDeleteWewe ni mtu mmoja na Ambaye kama si NYANI McCAIN basi utakuwa very close to NYANI my friend.
One of the most leadership trait is ability to communicate and convice people to do what you think can benefit them. This is within the capacity Obama. you can't compare JK and Obama, it's like comparing Tanzania(poor country) and USA(Richest country). These are two countries diffent. JK's work is to develop the nation while Obama's work will be to maintain development level by meeting the 21 century challenges which your Babu (McCain)is already a history.
Obama is the type of leader America needs now and is a unifying figure, historical figure, transitional figure, advancement figure etc.
Nyani my friend don't be selfish my friend, whether you like or not Obama is going to be next president, If you don't like go back to your motherland.
Kikwete ana bahati ya kupendwa na charisma. hilo halina ubishi.
ReplyDeleteKikwete hana rekodi yoyote ile ya mfanikio na uchapakazi tangu akiwa waziri wa nishati na madini.
Kikwete hana uwezo wa kuongoza nchi. hana pia uwezo wa kutafuta ushauri mzuri ktk kuongoza.
je wote watapiga kura kumchagua yeye??wa2 weupe wengi ni wanafiki,wanajua sana kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa.na watu weusi wengi mdomo kwa sana.wanasema sana lazima wamchague Obama then siku ya siku matendo hayaendani na midomo yao."i HATE politics".
ReplyDeleteHuyo demu anayekipiga kijibwa denda akitoka hapo anaenda kumpiga denda mwanadamu? Lahaula lakwata!
ReplyDeleteHuyu anakubalika. Ngoja tu Waamerika wakamilishe kazi yao halafu jamaa aanze mzigo. Watu mbona mnaanza kumtabiria kuchemsha kama jamaa yetu huku(lakini hajamaliza kipindi chake? Huyo mzungu wao mna uhakika gani atafanya vizuri? Hapo watu wanacheza kamali, wanachagua karata wanayoamini itawapa ushindi kimaendeleo, walio wengi watapewa, lakini kwa sababu Obama kaaminiwa na chama chake, basi ana chance ya kufanikisha ndoto yao Waamerika. Wamemwamini naye atawajibika kuwalipa imani yao kwake, na hiyo ndiyo kawaida ya haya mambo.
ReplyDeleteNadhani kufananisha hawa watu wawili(Obama & JK) inaweza kuwa sio sahihi. Jambo la muhimu tu ni kujifunza kwa nia ya kuisaidia nchi yetu ni mambo gani tunatakiwa kuyafanya ili kupata maendeleo. Mfano, ushindani wa wazi na ukweli ndani ya vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi ni muhimu sana.
Kama Mwafrika, nitafurahi sana kuona historia ya America inabadilika. Lakini ninachoogopa ni kuwa tusije tuka demostrate ubaguzi uliokithiri ndani ya comments zetu. Maana tunaamini tulibaguliwa na weupe, tusilipe kwa kubagua, tueleze sababu za msingi kwa nini tunamtaka Obama aongoze Marekani, kama ambavyo Wamarekani walio wengi wanafanya. Tuombe wasimchague McCain kwa sababu ya kukosa uwezo wa kuiongoza Amerika, sio kwa sababu ya weupe wake.
Wa Milimani(Serengeti of Flowers)
Kama hamjui, maana ya Bush kumpetipeti JK walipokuwa wanakutana ni kwamba alikuwa anamwambia "kaza buti bwana mdogo, kuna dogo nakuletea ingawa hatuko chama moja(akimaanisha Obama), mnafanana sana kwa matendo na sura.Ukijipendekeza kwake pia,atakusaidia sana.Keep it up" tehe tehe tehe!!!
ReplyDeleteMdau
msiandikie mate wale mnaojua kingereza bonyeza hapa
ReplyDeletenyie mlio bongo kaeni kimya msilete mambo yenu ya jk hapa
Hivi Nyie mnaoongela mnawajua REPUBLICANs au?? Ngoja mshangae Nov. 5th mambo yatakuwa yamebadilika...Hawa jamaa hawaachia nchi ng'o
ReplyDeleteUTITIRI HUU ANGEUPATA ALI KIBA KAJAMBA NANI AU J. KIKWETE (JASHO LA KWAPA) SIJUI MICHUZI UNGEITA NINI?
ReplyDeleteMTU NYOMI,
MTU KIMA
MTU KIBAO
SIAFU
SIJUI NISEMEJE MWAJAMENI, WADAU NISAIDIENI. MAANA MICHUZI WATU HATA KAMA WAKIWA WAWILI TUTAAMBIWA
...MTU KIBAAAAAOOOOO
...MTU NYOOOOOMIIII
SEMA HAPO OREGON BABA 'AKE
jamaniiiii eeeeeee…!!! jamaniiiii eeeeeee…!!! mbona mnabishana wenyewe kwa wenyewe vipiiiii......!!!!!! America is not think as u think....! Waafrika wote tunampenda Obama hata mimi nampenda... ni sawa….. ila lengo la America si kumweka mtu mweusi kutawala America kama mnavyo dhani ninyi...... ila ( is the target for Africa economy) mnakumbuka bush juzi alikuja bongo then akaenda Rwanda ……! Nakumbuka sylvan summit ilikuja bongo then next sylvan ni Rwanda (mkadanganywa eti waliokuja ni baadhi ya Biggest Business man wa kwa Bush wamekuja Bongo mlipata nini zaidi ya kukodisha mabenzi)……. Msiwe wajinga wa fikra kama ndugu zetu wa hapo keiiii maeneo ya kusumu ambapo kila kona ya kisumo kuna bendera ya kwa Bush…….!!!!!!! Kesho Obama ni rais akija kisumo on behalf of kwa bush si mnampa kisumu nzima hata akiwezekana keeeeeiiiii achukue mkidhani mna enzi history kumbe mna enzi America msiwe kama Russian wakati wa utawala wa chuma cha pua aliyeuza Alaska kwa Bush kisa msosi wa kulisha jeshi akidhani Alaska ni barafu tupu kumbe chini ya barafu ni mafuta ya kumwaga acheni ushabiki wa siasa za watu na nchi zao….!!!! Ooooooh we make history….. ooooooh mweusi mwenzetu…..!!!! imekula iyo…..!!!
ReplyDeleteEndeleeni kupiga debe wakuuu……
Mdau Moshi
Papaa Stan
jamaniiiii eeeeeee…!!! jamaniiiii eeeeeee…!!! mbona mnabishana wenyewe kwa wenyewe vipiiiii......!!!!!! America is not think as we think....! Waafrika wote tunampenda Obama hata mimi nampenda... ni sawa….. ila lengo la America si kumweka mtu mweusi kutawala America kama mnavyo dhani ninyi...... ila ( is the target for Africa economy) mnakumbuka bush juzi alikuja bongo then akaenda Rwanda ……! Nakumbuka sylvan summit ilikuja bongo then next sylvan ni Rwanda (mkadanganywa eti waliokuja ni baadhi ya Biggest Business man wa kwa Bush wamekuja Bongo mlipata nini zaidi ya kukodisha mabenzi)……. Msiwe wajinga wa fikra kama ndugu zetu wa hapo keiiii maeneo ya kisumu ambapo kila kona ya kisumo kuna bendera ya kwa Bush…….!!!!!!! Kesho Obama ni rais akija kisumo on behalf of kwa bush si mnampa kisumu nzima hata akiwezekana keeeeeiiiii achukue mkidhani mna enzi history ya uweusi in America kumbe mna enzi America msiwe kama Russian wakati wa utawala Iron Curtain (chuma cha pua) aliyeuza Alaska kwa kina Bush kisa msosi wa kulisha jeshi akidhani Alaska ni barafu tupu kumbe chini ya barafu ni mafuta ya kumwaga acheni ushabiki wa siasa za watu na nchi zao….!!!! Ooooooh we make history….. ooooooh mweusi mwenzetu…..!!!! imekula kwenu…..!!! nyie ndo wale wale wazungumzaji wakuu wa siasa ya zimbabwee lakini chazo cha utengenezaji wa hayo mambo mpaka Zimbabwe inaonekana hivyo hamjui mnabaki, oooh hajali watu wake, ajali uchumi…… Haaaa haaaa naniii umeskia zimbabwee yani kapu la minoti unanunua nyanya…… ooooh congo…. Ooooh Angola …… ooooh rwandwa wajinga kweli yani wanapigana wenyewe kwa wenyewe mnasahau silaaa zilitoka wapi na nani aliziuza huko…. baaada ya vita ….. mnasema jamani vita imekwisha salimisheni silaaa mnazikusanya mnazichoma moto tena mbele ya waandishi wa habari baaada ya miaka kumi nnapitisha kwenye bajeti ya serikali wizara ya ulinzi inahitaji kununua silaa kwa ajili ya kujilinda na waasii au majangili…… mesahau zile mlizichomaa moto …. Sasa hivi oooh tunameki history ya mwafrika kutawala America ……. kumbukeni hata kofi wa anani alikua mwafrika tena wa umoja wa mataifa msisahua tu…..! mnapiga umbeyaaaa weeeee….! !! akisha pata the white house mesahau kwa sababu mnaangalia leo na kesho tu… keshokutwaaa aka……!!! tunamwachia mungu… America haifikirii miaka miwili au nane inaangalia hamsini ijayo itakuwa wapi…. Hivi ninyi meshawahi kujiuliza volunteers wanaoingia bongo cha kusaidia yatima ana HIV projects what are the main issue … tusiwe wajinga wenzetu wana kitu kinitwa third world studies ni part ya geographic studies wanakuja as volunteers tena wengina wanafundisha secondary na primary as volunteers with no any qualification vipi wadau mpooooo!!… anakuja huku kwetu moshi as coffee expert cha kushangaza hata mche wa kahawa yenyewe ajawahi kuuona au amfikiri haya ….. wengine wanakuja kwenye project za maji na umemee then project ina base on Simanjiro kule A town mmesahau ule ni ukanda wa madini au nyie mnafikiria kupata maji na umeme tu.. wengina wanatujengea machurch kule west Kilimanjaro jamani hii aridhi si dili kwa kilimo tuko wapi jamani tunakaa tu town na ufisadi wetu…… wa bongo mnawapapatikia oooh mzungu bwana daily unajadili obama na mwezake john….. endeleeni kupiga debe wakuuu……
ReplyDeleteMdau wa Moshi
Papaa Stan