This Saturday, October 25th
R ' N ' B Night @ Level 8 Kilimanjaro Hotel Kempinski Enjoy a relaxing evening at the Level 8, Kilimanjaro Hotel Kempinski this Saturday, October 25th

HALLOWEEN, October 31st
Let the boundary between the alive and deceased dissolve...Witches, werewolves, vampires, beasts and ghosts will rise to ELECTRONIC music at Moevenpick, "the haunted house" on the eve of All Hallow's Day. Don't be afraid, they won't know you're there as long as you dance and mimic the evil spirits.
Buy / rent your costume from African Art along New Bagamoyo road before stocks run-out..
Overseas DJ: Flying Frenchman
DRESS CODE: Evil spirit / sexy
GATE FEES: Free entry to evil spirits, 10k entrance

For flyer and other details, click:
http://www.africa-beat.com/darEvents.aspx

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Jamani wabongo tuache kuiga mambo, halloween bongo imeanzia wapi?

    ReplyDelete
  2. Anonymous wa 4:08 AM ninaku-support big time! What the heck are we TZs got to do with haloween? Yanatuhusu nini mavampire sie....aah jamani tuache hizo!

    ReplyDelete
  3. Huu ni upuuzi mtupu.

    Tukiendelea hivi kesho tutapata wito wa kuhudhuria ibada ya devil worshippers Morogoro ambapo wakati wa kushiriki meza ya Ibirisi raia watapewa damu na nyama za watu kushiriki; Angalieni hata hiyo halloween imeelezwa hapa.
    http://www.theisticsatanism.com/geifodd/sitemap.html

    HALAFU, wiki ijayo waziri wa utamaduni atakuwa anakaribiswa kufungua onyesho la Tanzanian Orgy (group sex) kule Moshi;

    NDIPO, mwezi kesho mheshimiwa rais na wakuu wa madhehebu watakaporibishwa huko Iringa kuzindua rasmi shindano la kumpata kijana mahiri mwenye kauli uhalo atakayeibuka bingwa wa kutukanana matusi ya nguoni baina ya washiriki na hasa yale yanayoelekezwa kwa wazazi wao;

    KISHA, mwakani Waziri wa biashara atakuwa anawasilisha Bungeni muswada wa sheria ya kuutambua umalaya kama biashara halali inayotakiwa kutiliwa mkazo ili kuboresha pato la Taifa na kuitengea bajeti nzuri ya kuhamasisha mishawasho kwa njia ya teknolojia kadha wa kadha.

    Jamani kila unapovaa nguo ya kuazima inayokupwaya na usiyoweza kuivaa inavyotakiwa mpaka mwenye nguo atokee kukurekebisha hakika ndivyo unazidi kuonekana maskini wa kutupwa na mshamba wa kuzomewa.

    Kilimanjaro Hotel Kempinski Management you still remain credible, innovative, hospitable and efficient without this rubish enculturation.
    *********************
    Michuzi tafadhali iweke ilivyo!!!!!!

    ReplyDelete
  4. tatizo watanzania wanapenda kuiga,hamna maana!

    ReplyDelete
  5. Jamani hayo ni mapepo tu!!! kuiga gani huko sasa?? haloween tena? kha bongo tumezidi,eti uvae kichawi!! ndio nini sasa......

    ReplyDelete
  6. tuache ushetani huu wazungu wasituletee kila kitu tupokee

    ReplyDelete
  7. MI ntakwenda kwa raha zangu na kujivika kichawi! anaeona ni kuiga basi naa aache!

    ReplyDelete
  8. matatizo yetu ya ujinga, umasikini na maradhi plus ufisadi yanatutosha.Bado tatizo la maalbino linatuumiza vichwa bila kugusia matatizo sugu ya uchawi na itikadi za kishirikina...hiyo halloween tunawaachia wenyewe mazungu na vuzika vyenu siye yetu yanatutosha

    ReplyDelete
  9. SHINDWAAAAA KABISA MAPEPO,,NTAMTAFUTA ASWAAA MANAGING DIRECTOR SIJUI WA APO,NA MKATABA WAO WASEMAJE KTK KU-RUN THT HOTEL,,,THEY CANT B SERIOUS!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...