Charles Gadi Promotions inasikitika kuwatangazia wapenzi wote wa JUA CALI kuwa onyesho la Uholanzi, la 07 November 2008 limeairishwa mpaka itakapotangazwa tena. Pia inaomba msamaha kwa usumbufu wowote uliotokea.
Asanteni
Utawala.
----------------------------------------------------------
Charles Gadi Promotions regrets to announce that the JUA CALI European tour 2008,which was due to take place on 07 Nov.08 in The Netherlands has been postponed till further notice.We apologize for inconvenience caused.
Thank you,
Management.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...