Home
Unlabelled
salamu toka kwa wadau
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Asante mdau lakini mbona kama hujiamini.Sasa hapo ni chuo gani na mnachukua masters ya/za kitu gani,wewe ni yupi katika hao(weusi?) au unafikiri kila mwanablog anakufahamu?Michuzi wakati mwingine huwa unaomba maelezo zaidi b4 you post these salaam's and other stuffs.
ReplyDeleteBalozi wewe ndio bingwa wa fotoz nakuuliza pamoja na wadu wengine kwa nini mswahili ukipiga picha pamoja na wazungu wengi sura za kiswahili hazionekani vizuri.
ReplyDeleteHata london nilikuwa ktk kujiweka sawa wakati wa group picha na paparazi ambaye ni mzungu akachukuwa muda mrefu kurekebisha kamera yake, baadae kwa vile ni rafiki yangu akaniambia 'mshkaji sio kwamba na maana mbaya ila kupata picha ya mtu 'mweusi' nzuri inabidi mpiga picha uwe makini zaidi kutokana na mwanga hafifu!
Je ni kweli hayo na ze fotoz-grafa alikuwa na jambo?.
mchangiaji wa pili: je ukoje weusi wako? labda umweusi kama usiku wa kiza!!!
ReplyDeleteanoni wa 11.11am, sura nyeusi yaameza mwanga wakati nyeupe yaakisi mwanga! sasa kama unapendakung'ara basi paka chaki au mkorogo.
ReplyDeletewadau ujaluoni pikeni ugali kwa dagaa na kushushia na unyuka then ugonjwa utawapona! Material yanapatika kwa duka la mchina d'ntaun, Lol
He!ee!!hawa ndio madenti wanaotuwakilisha huko Ujiji!??
ReplyDeleteTaifa letu bwana halina ubaguzi!
SI UNAONA MWAKA JANA Miss.Tanzania
Richa Azia alikuwa mdosi,MWAKA HUU
MADENTI WETU WENGI WAZUNGU LAKINI WATANZANIA!
safi sana ulituletea picha hii
Aisee pole sana kwa upweke huko Ujerumani.Nimefurahi kwamba angalau unakumbuka nyumbani kwa kuangalia blog ya Michuz na bila shaka na nyingine nyingi kupitia hii hii ya michuzi.Wahamasishe wenzio unaosoma nao hao Wajerumani wakati wa likizo za mafunzo waje wafanyie huku nyumbani Tanzania!Tell them that We love them all the Germans!Welcome to Tanzania Dear Germans!
ReplyDeleteTunajua yanayo kupateni huko Ujerumani! Poleni sana na upweke ulichanganyika na Ubaguzi,na kila siku mnaulizwa mtahondoka lini kurudi kwenu.
ReplyDeleteMkimaliza masomo msipoteze mda mrudi nyumbani Bongo sasa Tambalale