ma'mdogo janet (kulia) na bintiye karen wanawataki wadau wooooote iddi njema
mai nanihii wa karena anajiunga kutoa mkono wa heri na baraka za iddi el fitr
mdau gwamaka (kati) akiwa na wadau wenzie wakitoa mkono wa iddi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Karen bwana, ulitaka kutuonesha kuwa siku hizi una mtasha. mambo yeshakunyookea, haya bwana mmependedha.

    Q

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...