
Sheria na timu yake nzima waliweza kuonyesha kile kitu ambacho hakijawahi kutokea wala kuonekana katika ardhi hii ya mji kasoro bahari.
Mwandishi wa habari hizi alipata fursa ya kuongea na Sheria mwenyewe ambaye binafsi yake alisema amefarijika sana kuona umati wa watu walokuja kushuhudia kazi zake na ameahidi kuja na mambo mengi mazuri zaidi hivi karibuni.
kwa pamba na habari zaidi za mbunifu huyu Sheria Ngowi Mtembelee
kupitia
au unaweza kumrushia E-mail:
na kwa wadau wa bongo na Kona nyingine watakaopenda kujidunga/kununua pamba za sheria na Mavazi mnaweza kuwasiliana na C.E.O wa Sheria na Mavazi Mr Haki Ngowi kupitia E-mail:
au simu number
+255716393636
au
+255784246158
MITINDO MINGI TUNAYOONESHWA KUWA IMEBUNIWA INAPATIKANA KATIKA MITANDAO MINGI ZA MAVAZI.
ReplyDeleteSheria I'am impressed sifa yake mtu apewe maana watanzania wanavikorosho sana na wenzao unijui sijukui ila kazi yako nimeipenda sana
ReplyDeleteWadau..... Mwenye kujua mawasiliano ya huyo dada aliye vaa gauni ya RED au YELLOW anipatie. Au yeye mwenyewe akiona huu ujumbe naomba tuwasialiane kupitia kwa michuzi kwanza na asichelewe. Nina mpango naye mzuri tu na asiwe na wasiwasi.
ReplyDeleteMdau,
Grand Duchy of Luxembourg
naomba kuuliza kuwa mbunifu wamavazi au ni kuwa mkarabati...mimi sioni originality ya hayo mavazi kabisa.
ReplyDeleteI am sure mnaopenda mavazi mnafuatiliaga fashion week in NY city au kile kipindi cha fashion runway kwenye cable channels. Wabuni mitindo ukiangalia unajiuliza alikua anafikiria nini kutengeneza hiyo nguo? yaani ni applied art lakini hapa hizi zote zilikua summer ya 2007 na few zilikuja this summer.
sasa sielewi kuwa designer home ni nini? originality au just to go with the flow na kuwa na access ya internet na kuona what is up na kukarabati zako...sina roho ya korosho lakini labda watu wa bongo wanaona hizi ni original lakini ukweli sioni hata moja ambayo ni unique au original.
Hivi wewe anon October 07, 2008 9:36 PM unayesema watu wabongo kwa taarifa yako na wewe ni mbongo wacha kujifanya NY runway unaona hapa watu walioko kwenye mtandao unao wajibu woteeee asilimia kubwa walikuwa nje ya nchi wameamua kurudi home au wameshakanyaga sana nje or wanaishi nje wahiyo usitake kutufundisha vitu ambavyo tunajua.huyu mwenyewe aliye post hii na maanisha michuzi unamuona kila siku gulu lake njeee ya nchi jamani watanzania wacheni tabia ya kutishiana majuuu majuu maana siku hizi watu wanapafanya kama dinning room au msalani ni ticket yako tu hakuna kunyimwa VISA maana wameona watu wote tunarudi nyumbani tumechoka huko kwao.halafu bro usinibania puliziiii
ReplyDeleteHey you up there ...Please...hata mimi ni mbongo ndio maana nimesema watu wa bongo sijasema wabongo....give me a break..... for ur information I do love my country to death and what I am talking is just my opinion and there is a truth behind it.I think you know it. There is a designer and a seamstress if u know the differences btn these two you would have shut the $$$$$$ Up and drink ur beer slowly
ReplyDelete