Habari za kuhabarisha wa Swahili wote kaka!
Kwa Niaba ya Familia ya Mzee Mwaisaka napenda kutoa shukrani zangu kwa kuniwezesha kutoa tangazo la Kupotea kwa Mdogo wangu KHATIB MWAISAKA lilotokea juzi ninashukuru Umma wote wa watanzania wanotoa taarifa kwa Simu na taarifa mbali mbali ambazo zimefanikisha kumpata mdogo wetu akiwa Segerea gerezani kupitia globu yako yote hii Mungu akupe rehema za kuendeleza Lebeneka hili.
Akhasante
IDDRISA MWAISAKA
WIZARA YA ARDHI –DAR-ES-SALAAM
TANZANIA

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...