balozi wa uswisi akihutubua kwenye dhifa ya kusherehekea siku ya taifa ya nchi hiyo katika hoteli ya moevnpick, dar,usiku huu
baadhi ya wadau waliohudhuria dhifa hiyo leo
mhariri mtendaji wa tanzania standard newspapers, wachapishaji wa daily news, sunday news na habari leo alikuwa miongoni mwa waalikwa na mai waifu wake na mdau
kikundi cha muziki toka uswisi kilikuwepo kutumbuiza

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...