bwana harusi akipelekwa kuchukua jumla mitaa ya vingunguti, dar. mdau kama unazo tuletee kupitia issamichuzi@gmail.com kwani taswira kama hizi ndizo zinatafutwa kuleee...
libenekelataswira.blogspot.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. hii nimeipenda hii.alafu ndoa kama hizi ndio unakuta zinadumu sana kuliko zile za kwenda kuoa kwenye ma limousine.

    ReplyDelete
  2. nI KWELI ndoa kama hizi zisizokuwa na makamuzi ya kumwaga uwa zinadumu. Kwa mie niliyetokea kwenye maisha kama hayo, inanikumbusha nini maana ya kuhangaika kimaisha na umuhimu wa kuheshimu maisha ukishapata maishani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...