Home
Unlabelled
thanksgiving bash 2008 in houston
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Naomba kukupa news ambayo utaipenda!...
ReplyDeletekwani Kule Tarime nimesikia mbwa kavishwa tisheti ya ccm na kuuliwa na mwenyewe kawekwa rupango..
lakini USA kuna puppy naye kavishwa..
lakini wao wamemwita puppy "royal supporter"..
Je wanakijiji wanasemaje>??
http://www.iol.co.za/general/news/gallery.php?click_id=408&date_d=29&date_m=09&date_y=2008&original_image=d/a/picdb48e66d9268171&set_id=1&choice_id=79&keyw=
Wewe hapo juu sasa unachosupport ni nini? kuvalishwa rangi ya chama chochote sio tatizo...tatizo ni kuuwa mbwa....aliwakosea nini huyo mbwa? Kwanini wamuue? Je kuua wanyama bila sababu yeyote ni halali....???? Where is animal rights?...Angeuwa huyo mbwa huku USA hivyo angeishia jela maisha yake yote....I am sure huyo atawekwa jela kwa week tu na kutoka nje....na mtu anayeua mbwa kikatili hivyo hata kuua binadamu sio tatizo kwake...wasipo stop this shit ....tutaanza na mambwa na kuishia kuuana wenyewe...
ReplyDeleteHuyo msichana kama yupo kwenye hiyo party basi nakuja huko TX
ReplyDelete