Kushoto kwake ni msanii wa Bongo flava Herry Sameer (Mr Blue) na Ruta Bushoke watakaoshiriki kuiwakilisha Tanzania.
wasanii wengine watakaoshiriki mpambano huo ni kundi zima la P Unit kutoka Kenya na aliyekuwa muimbaji wa kundi la Blue 3 mwanadada Cindy nani atakaeibuka XTREEME.
Kwa mpambano wa DJ' atakuwepo Bush Baby na Wesley kutoka Kenya.
Wadau jitihada zote hizi, hamna hata comment? Msisahau TIGO ndio wadhamini wa blog hii.
ReplyDelete