Mwakilishi wa Tigo Huduma kwa Mteja Dodoma, Saitoti Naikara
(kushoto), akikabidhi sehemu ya vitabu 150 vya fizikia kwa wanafunzi
wa Shule ya Sekondari Mpunguzi Mkoani Dodoma juzi ikiwa ni sehemu ya
utekelezaji wa kampeni inayoendelea ya Tigo Elimu Bora Tanzania.
Vitabu hivyo vina thamani ya shs milioni tano. Anayepokea kwa niaba
bya wenzake ni mwanafunzi Faumencia Matemu, kulia ni Mkuu wa shule
hiyo, Esther Milang'tone na kushoto ni Meneja Habari, Elimu na
Mawasiliano wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Sylvia Lupembe.

Mwakilishi wa Tigo Huduma kwa Mteja Dodoma, Saitoti Naikara
(kushoto), akikabidhi sehemu ya vitabu 150 vya fizikia kwa Meneja
Habari, Elimu na Mawasiliano wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA),
Sylvia Lupembe kwa ajili ya wa Shule ya Sekondari Mpunguzi Mkoani
Dodoma juzi ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa kampeni inayoendelea ya
Tigo Elimu Bora Tanzania. Vitabu hivyo vina thamani ya shs milioni
tano. Katikati ni Mkuu wa shule hiyo, Esther Milang'tone.


Mwakilishi wa Tigo Huduma kwa Mteja Dodoma, Saitoti Naikara
(kushoto), akikabidhi sehemu ya vitabu 150 vya fizikia kwa Mkuu wa
Shule ya Sekondari Mpunguzi, Esther Milang'tone kwa ajili ya sekondari
hiyo mkoani Dodoma juzi ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa kampeni
inayoendelea ya Tigo Elimu Bora Tanzania. Vitabu hivyo vina thamani ya
shs milioni tano. Katikati ni Meneja Habari, Elimu na Mawasiliano wa
Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Sylvia Lupembe

Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mpunguzi ya Mkoani
Dodoma wakiangalia vitabu vya fizikia muda mfupi baada ya mwakilishi
wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, Saitoti Naikara (hayupo
pichani), kukabidhi vitabu 150 vyenye thamani ya shs milioni tano
shuleni hapo juzi. Msaada huo ni sehemu ya mwendelezo wa kampeni ya
Tigo Elimu Bora Tanzania iliyozinduliwa mkoani Mbeya hivi karibuni.
Kutoka kushoto ni Grace Nghwasa, Nuru Simatya, Madinda Zacharia,
Geoffrey Ligoha na Adam Mkaka

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...