Uchaguzi wa viongozi wa jumuiya ya watanzania waishio Manchester na vitongoji vyake. Utafanyika Tarehe 18.10.08, Jumamosi.
Watanzania wote wanaoishi Manchester (UK) na vitongoji vyake mnaombwa kuhudhuria kikao cha uchaguzi wa viongozi wenu wa jumuia ya watanzania.
Kufika kwenu ndio ufanisi wa shughuli hii muhimu kwa umoja na mshikamano wetu.Fanya hima kuhudhuria kikao hiki kitakacho ambatana na sherehe za uzinduzi zitakazoendelea mpaka usiku wa manane. Patakuwa na ulaji (bites) na vinywaji.
Mahali: Our lady's hall,
Raby Street,
Moss side, Manchester,
M16 7JQ
Muda: kuanzia saa 12 Jioni (Tafadhali tuzingatie muda)
Uchaguzi: Utaanza saa 1:00 (moja) jioni mpaka saa tatu (3) usiku, na kwa wale watakaopenda kugombea uongozi wafike ukumbini kabla ya saa moja jioni.Sherehe za uzinduzi na disco la bure mpaka liamba.
Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliania na:
1. Dr. Ngoma. M.C (Mwenyekiti wa muda): 078767123242.
Herman Livingstone (Katibu wa Muda): 078998065003.
Humprey Mhada: 078243974684.
Daudi Mwakimwagile: 075344994055.
Alphonce Machunda: 07917860621

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...