haya ni mambo katika globu mpya ya maakuli na mambo mengine yapatikana
http://bibiafya.blog.com/
mdau akiwa na shabiki wake wa globu mpya ya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hongera mdau naona shemeji amependeza kweli! chibiriti umeona viwango vinavyohitajika?

    ReplyDelete
  2. Duh demu bomba.

    ReplyDelete
  3. Hongera mdau kimwana cha kitashi si haba, umepata kweli sio wenzetu wakiona mzungu wanaokota tu mradi mzungu. Hapa umepata hata mimi mate yananitoka

    ReplyDelete
  4. Balozi wa Jamii,
    Naomba utafute nafasi kubwa ya habari njema ktk riadha kwa Tanzania na wizara ya Michezo,Habari na utamaduni.

    Mashindano ya Commonwealth Youth Games huko Mjini Pune, India october 2008, juzi dada mtanzania Naali Mary Xwaymay ameshinda medali ya shaba ktk mbio za mita 3000.

    Source Http://results.cygpune2008. com/RIS

    Mdau
    Rocky
    London.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...