Home
Unlabelled
voda yaipiga taffu ukerewe
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jamani hivi kweli vyumba viwili tu milioni 24, halafu ukerewe??? kweli tutaendelea vipi? Mchanga, mawe, mafundi, mbao, vinapatikana local sasa hiyo gharama inatoka wapi? au na ghrama za kukodi ndege za mabosi wa Voda wanapoenda kukagua weekly!
ReplyDeleteHizi ni Fix ili ionekane kwamba wametoa mamilioni ya pesa kwa jamii na jamii ieweze kuipokea.
ReplyDeleteYote haya ni psychological games ktk biashara, Wengine wanasema watatoa bilioni ktk jamii, je mapato yenu ni kiasi gani? Kama ni rahisi kutaja pesa mnazotoa kwanini msitaje na mapato yenu na ni kiasi gani mnalipa kodi ya kweli kwa serikali?
Hawa wote ni wezi yaani Zain, Vodacom, TIGO pamoja na wengineo.
Kuanzia leo mkitaja hizo figures tunataka na ushaidi kuonesha gharama zake na sio kutuchezea our minds na hizo psychological figures.
Habari Ndio Hiyo. Michuzi Usinibanie hii.
NaWaKiLiShA.
Michuzi Pleeeeeeeease please embu double check hiyo figure, please tuambie kama ndo' kiasi chenyewe kilichotumika kujenga vyumba viwili vya madarasa wilaya ya Ukerewe! ehe! mbona mie nivyoona hicho kiasi nikadhani Vodacom imeamua kusaidia shule za ukerewe aka England! Walahi £11,000 kwa matofali na cement tu kujenga madarasa mawili tu! Au embu check tena, labda hayo madarasa yana 'state of the art science laboratory and computing facilities'. Please tuambie kaka.
ReplyDeleteMichuzi, tafadhali tufafanulie kama hizo milioni 24 ni fedha ya Zimbabwe au ni Tsh. kwa madarasa MAWILI inakanganya! Kama alivyonena mdau wa 4:54PM wenda ni darasa lenye samani na vifaa vingine ambavyo ingependeza pia vitajwe.
ReplyDeleteHalafu huyu mama sio anaishi marekani? Au ni ndugu yake wamefanana hivyo? Nilivyoonyeshwaga nilizania ni huyu nakumbuka ni huyu mama kaka sitakosea.
ReplyDeleteJe inaruhusiwa kuwa mbunge uishi nje ya jimbo lako? But what do I know wabunge wote wa vijijini wanaishi Dar es Salaam. Nafikiri hata kuishi nje ya nchi it is not a big deal or agiast the laws