Have you voted for your favourite Vodacom Global Soccer Star?

To vote for your favourite player, simply SMS the word SS (leave a space) followed by the contestant’s number to 15550. Example: SS 85 and send it to 15550. Each SMS will cost Tsh 150 (VAT& Excise inclusive). Error SMS will also be billed.

To know your favourite player that you want to vote for, read sports newspapers or watch a TV show on TBC1 at 7pm every Sunday. You can as well catch the same show on DSTV Channel 143.

Voting for the players will commence again this coming Sunday (October 5, 2008) at midnight (00h00) and will close next Thursday (October 9, 2008) midnight (00h00). Fabulous prizes for Vodacom Global Soccer Star voters1.

Tsh 5,000 worth of airtime to be awarded to Vodacom customers only for every one thousandth vote.
One lucky winner gets TWO tickets to attend to one of the Reading FC matches in England later this year. Exciting prizes for the Vodacom Global Soccer Star players.

One player to join Reading FC in England later this year. And one player to join a sports academy at Marbella Spain later this year.

Vodacom Tanzania urges you to keep on voting for your Vodacom Global Soccer Star favorite player and you might be one of the lucky winners!!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. HAWA VODACOM HAWAJATULIA KABISA! ITAWEZEKANAJE TUMPIGIE KURA MTU AMBAYE HATUJAMWONA ANACHEZAJE? KWANI KUNA KIPINDI WANAONYESHA VIWANGO VYA HAO WACHEZAJI VIKOJE? KWENYE TELEVISION GANI? AU HAYA NI MAMBO YA KUJIONGEZEA KIPATO KWA NJIA YA BAHATI NASIBU TU! ACHENI USANII...

    MZOZAJI

    ReplyDelete
  2. ningeomba ufafanuzi kiduchu juu ya zawadi kwa hao soka staaz.
    huyo atakayejiunga na Reading FC,atakuwa hapo kwa majaribio,au atakuwa ndo amepata mkataba moja kwa moja ama atakuwa hapo kujifunza tu mambo kadhaa juu ya soka??
    na huyo atakayejiunga na hiyo Sports Academy huko Marbella,Spain ndo niaje?huyo mchezaji ataondoka hapa akajiunge tena na Sports Academy??labda kwa kufanya shughuli nyingine ya kimaisha lkn suala la kucheza tena mpira nina mashaka nalo(haswa ukizingatia UMRI atakaokuwa nao huyo player).labda tupewe ufafanuzi kidogo.

    ReplyDelete
  3. Yaani hapa ndio tunakwama kila siku na soka letu. Soka sio siasa au pop idiol, Vodacom tuwe serious na hili kidogo. Unategemea nini kwa wachezaji wa familia duni wasio na ndugu wenye uwezo wa kutuma sms. Au ni nia nyingine ya kukuza biashara kupitia sms. Mnafikiri Senego wamefika hapo kwa kutuma sms? Acheni utani, mnapata hela nyingi za kutosha kutupatia professionals zaidi ya kumi kwa programu za kueleweka.
    Reading my foot, kila siku tunasikia hizo story za majaribio toka enzi za Athumani China, Lunyamila, Katwila mpaka Uhuru Selemani. Unajua kinachofuata? Wameambia ni wazuri ila wafanyie kazi stamina na phisik... Halaf mwisho wa hadithi.

    Hivi Tinoco anafanya nini?? Na wale watoto wa Mtwara wameenda wapi? Wadau nisaidieneni....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...