Msemaji wa Jeshi la Polisi Kamishna Msaidizi Abdalah Msika akikabidh zawadi ya jezi pamoja na mipira kwa timu ya timu Albino United baada ya kuifunga Times FM bao 2-1
Msemaji wa Jeshi la polisi Afande Abdalah Msika akiwa katikati akiwa na timu ya Albino United ambapo timu hiyo iliibuka mshindi kwa kuifunga Times FM mabao mawili kwa moja mashindano hayo yalifanyia katika uwanja TT Sinza Darajani. Afande Mssika alikuwa mgeni rasmi


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Bora wawe wanawaalika maafande kila mara manake hawa wa chawi au washirikina wanaowatoa roho hawa ndugu zetu wasije wakawa sasa wanapitia humo ktk viwanja wanavocheza nakuanza deal zao

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...