
Akiongea na blog hii ya jamii kwa njia ya simu mara tu alipowasili Dulles Airport akitokea JFK, alisema kwamba November 22 nitazungusha chapati pale Gallery,Silver Spring, kwa hiyo washabiki wake wa washington Metro Area na vitongoji vyake mnakaribishwa sana.
Amesema pamoja na chapati za oldskjul pia kaja na kago ya ngoma za bongo flava zinazotamba hivi sasa.
job tu yuuu.
DJ ndo yupi katika wawili hao?
ReplyDeleteMkuu wa wa wilaya ya nanihii nakubali Madj hao walikuwa moto kweli lakini sasa wawapishe Madj vijana kama Dj K na wengineo na kaka Luka aendelee kuwafadhili vijana kupata magari ya bure pale DC. Bon Luv atoe ushauri wa bure kwa madj vijana wa KITZ popote walipo.
ReplyDeletesasa Bonny luv kati ya hao wawili ni yupi jamani maana wengine hatumfahamu kwa sura.
ReplyDeleteBraza Michu, vekesheni ni mapumziko, sasa umesema ametua washington kwa vekesheni fupi ya kikazi, iweje?
ReplyDeleteblog ya haki ngowi imepatwa na nini? tafadhali tujulisheni.
ReplyDeleteHivi siku hizi Bonilover anapiga wapi chapati bongo? Mara ya mwisho nilipita latavena nikaambia hapigi tena
ReplyDeleteDj Boniluv ni huyo mwenye tshirt ya kijivu
ReplyDeleteHuyo mwenye shati ya mistari ni Dj Luka
Jamani umeshakuwa wazee hayo mambo ya u-dj wachieni vijana wadogo sasa,nyie mbaki kuwa kama washauri tu.
ReplyDeleteWewe mdau unaeuliza nani ni nani, ni kwamba huyo mwenye bling ya jino ndo boni love aka mapenzi aka boni kilosa na huyo mwingine mwenye macho kumchuzi mkono ku nyama ndo dj luka wa safari dc.
ReplyDeleteHuyu dj luka tangu ameanza udj amefika wapi kawa muongo muongo tu
ReplyDeletewe kaka wa hapo juu nakukubalia na mawazo yako awaachia watoto wadogo kina dj k wanaoibuka yeye akae pembeni
ReplyDeleteAfadhali dj luv anaheshima yake
ReplyDeleteMendeeeeeeee hata hatuagani kaka?? peace 2 u man kila la kheri
ReplyDeleteWamechoka hawa wapumzike. Luka do es'nt know howa to spin at all - LMAO
ReplyDeleteutamu vp??
ReplyDeletewatoto wa mbwa wamemnunua Bonny lov thx gvg party Houston 4 2days?
ReplyDeletemweeee si alikua huku juzi juzi?
ReplyDeleteUchumi mgumu ndugu yangu. Enjoy your vacation lakini ungekaa kaa bongo mpaka watu wakusahau...
mateso ya Ohio watu bado wana hasira kibao ile Old skull bash!!!!!!!!!!????????
welcome back boni luv,hope to see you on that day.
ReplyDeleteWewe Ph hapo juu umenifurahisha sana, doh bling ya jino, hii kali, LMAOOOOOO!!!!
ReplyDelete