THE RETURNED BILLIONS OF MONEY: BUT TO WHAT COST TO OUR ECONOMY?

Mr. Michuzi,

Allow me to raise some observations of an economist on the returned Billions from Mafisadi of Tanzania.
Today I read from the ippmedia website (http://www.ippmedia.com/ipp/alasiri/2008/10/31/125502.html ) that in just two days Tsh. 17 billion has been returned in various banks. My concern is on the inherent effect to be created to our economy.
Is it a good thing? Obviously no economist can reply to this unless he or she knows the ‘sources’ and the ‘destination’ of that amount of money. Here are two questions I will like to ask Tanzanian economists:

Since the 17 billions are in Tanzania shillings, will the direct injection of that amount of money to our current economy lead to a rapid increase of circulation of money and inflation?
I guess before injecting such a huge volume of money, Tanzanians must also be assured that the sudden injection will not hike prices of certain goods and certain productive assets.
Are we assured and what are you thinking?

The other question I want Tanzanian economists to respond to has to do with the ‘source’ of such money. Did the Mafisadi hoard all the 17 billion ever since when they siphoned them from the BOT or some of the money is coming from the savings of other fellow citizens?
The fact that Mafisadi have returned the money should not be taken for granted by the economists. If all the 17 billions had been hoarded at home, then the economists must come with the answer of what was the effect during the withdrawal of such amount of money to our economy?
But if the money had already been ‘purified’ and was already invested in our system, I guess the economists will also be prepared to accommodate the outcry of some of our companies and households who will definately loose their savings, investment capacity and even labor force.
What are the Tanzanian economists thinking of this?

Mdau Michuzi, I don’t want to occupy most of your blog, but please post these two controversial questions so that Tanzanian economists take time out and respond for the benefit of all.

Ni mimi,
Mdau mwenzako.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Upuuzi mtupu..! Hii blog ya kiswahili andika kiswahili ueleweke!

    ReplyDelete
  2. Hizo hela zimetokea hapo hapo jirani TRA.
    Mafisadi ya kweli vijisenti vyao viko visiwa vya Jersey bwana, sio benki moja isiyotajwa jina.
    Watoto msiangalie nyuma, yai bovu linapita.

    ReplyDelete
  3. huo sio upuuzi ni maswali na unaweza kuchangia kiswahili au english.hakuna sehemu hapa inasema hii blog ni ya kiswahili tu.
    mdau ulituma post hela ni nyingi tu ambazo zimerudishwa na hatujui zimetoka wapi.
    kama billion 133 ziliweza kuchotwa tu na watu kukaa kimya mpaka dr.slaa kulipiwa bomu inamana zilikuwa zimekwenda na maji.
    hizo hela aziwezi kuboost uchumi manake hakuna huakika watu walichota wakawa wamekaa nazo kwahio kuna huwezekano tunapigwa mchanga wa macho na tukajikuta hela zimetolewa mfuko wa kulia zimewekwa mfuko wa kushoto.
    i think we have the most corrupted leaders on earth.
    wema wetu na kutokuwa na uwezo wa kudai haki zetu ndio zimetufanya watanzania kuingia katika huu utumwa wa kisasa.
    we hired this people to protect and lead our country in every corner and we do have the right to fire them when we find that they r not doing the right job.

    ReplyDelete
  4. Hey guy, you better jot down in your mother language, what the hell you wrote?

    ReplyDelete
  5. KABLA YA KUCHANGANYA MAMBO. CHA KWANZA KWA WANA UCHUMI NA WAHASIBU NI CALCULATE 'PRESENT VALUE' YA PESA ZILIZO IBIWA. HIVYO INAMAANISHA KU ADAJUST INFLATION NA KUJUMLISHA ANNUAL INTEREST RATE HAPO NDIPO UNAWEZA KUJUAL ACTUAL TODAYS FIGURE ILIYOTAKIWA KURUDISHWA. HIZO FIGURES ZILIO RIDISHWA KATIKA ECONOMICS NI NORMINAL VALUE SIO ACTUAL VALUE, INAMAANISHA HAWARUDISHI KIWANGO SAHII, KWANI PURCHASDING POWER YA HIZO FEDHA HAZIWEZI KUWA SAWA KU COMPARE WAKATI WALIOIBA.
    KWANINI WASOMI WAKO KIMYA NA HAWAIKOSOI SEREKALI? TUKISHAJUA CORRECT FIGURES THEN AFFECT NYINGINE ZIANGALIWE.

    ReplyDelete
  6. Watz kwa kuogopa kiinglish mmmmh haya bingiri bingiri tutafika

    ReplyDelete
  7. People should improve the way they interact with others by behaving in a more confident and positive manner (assertive)

    Blogger ya Mzee Michuzi IPO kwa watu wote, watu waheshimu mawazo ya wengine hata kama kwao yanaonekana kuwa ni upuuzi.

    The person is concerned about the state of the economy. That is the issue people should focus.

    Ndg mwananchi you don’t have to worry about the subject. Because inflation will only increase when governments want more money than they currently have and decide to print money, printing more money is inflationary.

    Mafisadi wamerudisha fedha pengine zitasaidia kujenga Shule, na huduma za jamii

    ReplyDelete
  8. Mdau, think in this way:
    What happens to your financial position at home if you take money from your wife's handbag and put them in your wallet? NOTHING, because the total amount in your family is still the same. That is what happened in this case, assuming the family is Tanzanian economy.

    The inflation you are worrying about will only happen if these 17 billions were printed by the BoT, then handed-over to the fisadi before being returned back. Yes we don't trust our government, but I don't think this thing happened.

    And, if somebody's saving was taken, it is not a problem because the money is still in circulation.

    The worst thing: When fisadi got the EPA money, some bought all the forex in the market, then sent them abroad and spent the remaining shillings in inflating housing market. That was shiiiiiiiiiiiiiit!

    Thanks Mdau.

    ReplyDelete
  9. MIMI NISICHOKIELEWA HAPA NI KWAMBA RAISI IJUMAA ALISEMA KIASI KILICHO RUDISHWA NI KARIBIA ASILIMIA 75 (75%) WAKATI MAFAILI YALIOPELEKWA KWA MKURUGENZI WA MASHITAKA (DPP) BAADA YA HOTUBA YA RAISI NI ASILIMIA 52 TU (52%).SASA HAPA NI HIPI NDIO HESABU HALISI KATI YA HIZI ZILIZOTAJWA?

    ReplyDelete
  10. Hakuna cha fweza zilizorudi wala zilizobaki. Hilo ni changa la macho tu.JK anajaribu ku buy time tu hapa ili taratibu watu wasahau na soo liishe.Hii yote ni kwasababu tumezoea NDIYO MZEE.Kama kweli zimerudi tuone sasa awapeleke mahakamani waliorudisha.Mwanzo si alisema kuwa hawezi kuwapeleka kwa kuwa anataka pesa zirudi.JK ananikumbusha ule wimbo tuliokuwa tukiimba zamani "Watoto wangu ee, mimi mama yenu- ee, sina nguvu tena- ee, yakumua simba- ee....", Kama mna nguvu piteni.

    ReplyDelete
  11. Babu, kama KIZUNGU ni noma, nenda kwa wakina Shayo na Mashaka ili wakupe Darasa, lasivyo andika kwa kiswahili. Mbona kiswahili chako kina utata?

    Shayo, huko wapi? Na wewe Mashaka, hebu chambueni udhaifu kwenye hiyo posting. Jukwaa ni lenu WAKUBWA !

    ReplyDelete
  12. Uhuru wa kujieleza wa mawazo yako,
    kwanza naomba Michuzi usibanie hii:
    Mimi Namfagilia sana JK. Jamaa ana akili. Hili Suala ni Tungo Tata kama mnavoelewa, Jiulize ingekuwa ni wewe JK ungefanyaje???acheni kuongea tu
    Ushauri hapa ninaotoa:
    Iwe kama Marekani kipindi cha uchaguzi, mgombea anapoteuliwa na chama chake, achangiwe fedha na watu wanaomkubali.
    Marekani mfano Obama na Mccain wameweza kupata kiasi kikubwa sana cha fedha kwa kuchangiwa na watu. Sheria ya Marekani watu wanaokuchangia ktk kampeni za uchaguzi kiwango kisizidi dola elfu moja.(USD 1000). Huwezi kudanganya, mifumo ya mabenki itaonyesha tu kuwa kuna mtu ameweka hela nyingi.Itakuwa kigezo tosha cha kukuangusha. Hivyo watu wengi huchangia Dola 20, 30,40 ,50 na 100.nk. haizidi kabisa dola 1000.
    Sasa hapa bongo wewe unafikiri fedha za kampeni mabilioni hayo wanapata wapi??????
    Watanzania tuzinduke!! tutalala mpaka lini???
    Big up JK,
    Mdau

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...