Home
Unlabelled
hapiness magessa atia fora swahili fashion week
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mkuu, ni Happiness MAGESSE
ReplyDeleteswali nitampata wapi huyu mutoto,nifanyie mpango basi aaah
ReplyDeleteWe Michuzi unatafuta ugomvi wewe.
ReplyDeleteHuyu Si alisha likataa hilo jina la Happiness siku hizi znzitwa jina fulani hivi la kizunguzungu?
Atakushtaki wewe kwa kumuita jina sio lake.
Shauri zako. Mie simo.
Happy ni bonge la mlimbwende, lkn tangu ajibadili jina na kujiita Millen...nimedis value
ReplyDeleteAnon 8:35 AM unasema umemdis Value kila mtu ana haki ya kufanya kitu anachoona kinamanufaa kwa kwake sio kwajili ya watu kama nilivyosikia radio mbao huyu binti alibadilisha jina kwasababu za kikazi iliaweze kupata kujulikana vizuri katika kazi yake. kazi kama yake inategemea sana umaarufu ndio upate kula wanashauri uwe na kitu unique kama ID kuweza kutambulika
ReplyDeleteMdau
Sasa mbona unaminya comments michuzi?! Haina democracy kwenye blog yako. Tunaangaliaga tu basi kwa muda mwingi tunaboreka na kazi na hatuna cha kufanya huku. Tungekuwa na alternative wala tusingetia mguu hapa. Unaminya mno comments. Anyway, cha mtu mavi
ReplyDeleteHeppines(millen) kwenye mashindano tena???? sijui wanaogopa kuolewa hawa watu? Odemba nae yuko hukooooo mashariki ya mbali kwenye mambo ya uzuri hawachoki hawa wadada jamani
ReplyDeletemichuzi usingekuwa unabana comments ingekuwa mwake sana..anyway nimeona interview yake kwenye channel 5 ana wang sana yani kurembesha sana maneno ile kziungu zungu utafikiri kawa mmarekani! eti "i see Tanz`nnaya(tanzania)iz realy develorping(developing) coz we garra(gat) thez fasheen(fashion) showwz looh yani ngoja niishie hapo mtoto anajishebedu! kawa mzungu?kajichubua juu! we MILEN WEWE MTOTO WA TEMEKE?????haya!
ReplyDeleteMtoto kaumbika, sio siri...kubadili jina kwani tatizo gani?. Mtu anafanya anavotaka bana!. Lakini jina langu navolipenda sibadili ng'o!
ReplyDeleteUkiwa kwenye business hizi wakati mwimgine unajikuta katika maamuzi mazito ya kutaka kubalishwa jina hata mwenekano wako, kuna maagenti na wengine wengi wanaokushauri kufanya hivyo kuangalia maslahi, kama kabadili mwenyewe au imembidi kikazi NOT MAD AT U GIRL.Hollywood na tv show hosts wengi na wanamuziki wengi HAWATUMII MAJINA YAO YA KUZALIWA, SO ITS OK PEOPLE LIFE!!!.NI HAYO TU===KATIKA KUPANUANA MAWAZO MDAU.
ReplyDeletejamani mwacheni...
ReplyDeletembona wanamuziki waigizaji na watu wengi hawatumii majina yao halisi.
millen ni jinale la kwenye sanaa tu lakini kweny passport na vinginevyo ni still happines magese.