Kaka michuzi ,
habari za kazi, hongera sana kwa kuwa na blog kama hii inayokutanisha na kujuliana kwa jamaa, naomba nimtakie mwanangu "TREASURE THEOBALD" Happy Birthday kwa kutimiza mwaka.

Asante,
Mdau Theobald aka Maneck

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 24 mpaka sasa

  1. she is cute.happy birthday treasure!

    ReplyDelete
  2. Jamani tungemtumia huyu binti zawadi namna gani? Ongera binti wetu

    ReplyDelete
  3. MUNGU na amjalie maisha marefu na yenye fanaka. Sasa, mzee Theobard ikiwezekana punguza pombe ili huyu mtoto asome, mtoto mzuri kama huyu bila elimu ni balaa

    ReplyDelete
  4. HALOO MREMBO WA 2018 HEPI BETHDEI TUU YUU.

    ReplyDelete
  5. She is so sweet - happy birthday!!!!

    ReplyDelete
  6. kwani jamani kuna hepi bethdei ngapi? ya kuzaliwa na ya ........
    nauliza tu

    ReplyDelete
  7. Jamani katoto kazuri duuu hongereni wazazi .happy birthday treasure na kweli ni treasure

    ReplyDelete
  8. HAPPY BIRTHDAY SWEETY.

    ReplyDelete
  9. Anon wa pili unaharibu lugha,hakuna "ongera" bali "hongera".Pili umekosea huwezi kusema "binti wetu" kule maana nzuri ya kiswahili ungesema "binti yetu".

    Sentenso nzima ungeandika "hongera binti yetu"

    ReplyDelete
  10. Hongera Wazazi kwa kulea, POLE NA HONGERA MAMA MZAZI KWA KUBEBA MINBA MIEZI TISA NA KUMLETA DUNIANI SALAMA HUYO KIUMBE MREMBO.
    then HAPPY Bday Baby T. Jamani kumbukeni sana kinA-MAMA wakati wa birthdays za watoto, Hiyo kazi ni kubwa. MAMA WAZAZI OYEEEEEEEEEEEEEE KOTE DUNIANI.
    baby T you are so Cute,mwaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  11. Kifimbocheza umekosea,sio "sentenso" bali ni "sentensi".

    ReplyDelete
  12. happy birthday cutee!love you.chuchuchuu,tototoo!

    ReplyDelete
  13. she is such a treasure! Happy Birthday sweetheart. May you live to see many many more! God bless you and your parents

    ReplyDelete
  14. ooh jamaniiiiiiiii katoto kazuriiiiiii hepi bethidei treasure...mwaaah!

    ReplyDelete
  15. Binti ni mrembo sana, kwanza hongera kwa hilo. Pili, wazazi chondechonde muhakikishe mtoto mzuri anakwenda shule, tena shule hasa, ikiwezekana kabisa mpelekeni shule za St, st, kuanzia chekechea mpaka universty, mchezo wa kumpeleka shule za yeboyebo siungi mkono kabisa.
    Tatu, HEPI BESIDEI TOTOO MZURI.

    Q

    ReplyDelete
  16. ehh! Safi sana. Mkwe wangu weye! Nina kijana wa kiume machachari sana. Hapa atazimika tu

    ReplyDelete
  17. Mijitu mingine in bore mmeaona hapa ni sehemu ya kukosoana au kufundishana kiswahili na kuandika.comment zenu haziendani hata na topic.hata mtu kama kakosea ila unaelewa anamaanisha nini kutokana na hizo comment zenu mlizo toa.

    ReplyDelete
  18. waaaaaaaaaaaaaaoooo, such a cute baby, happy birthday Treasure, usimwache elimu aende zake tell ur parents that ok.?

    ReplyDelete
  19. ebwanaeee wazuri kweli hawaishi nimekubali, katoto kapo so cute sipati picha kakifikisha miaka 18 itakuaje. This is really a treasure kama jina lake lilivyo(ama Lulu kwa kiswahili wale wasiojua) Bwana Theobard na My wife wako nawapa hongera kwa kutulea mrembo huyu pia nawasihi muanze kujibana sasa ili mtoto asomee zile shule za st st kama mwenzangu alivyosema hapo juu vinginevyo mtakua na kazi ngumu sana ya kupokea wageni getini wakijidai eti wanasoma nae wamekuja kuazima kitabu au kujisomea

    ReplyDelete
  20. November 08, 2008 11:03 PM sentenso yangu ni sahihi,sijakosea.Kisarufi huwezi kusema "sentensi" inakuwa kama unatafsiri kutoka katika lugha ya kingereza kwenda kiswahili.Kwa hiyo ni sahihi

    ReplyDelete
  21. Happy b'day sweetheart, your a such adorable baby,love ya mwaaah.

    ReplyDelete
  22. ooh!! what a cute and sweet gal. Happy birthday Treasure.

    ReplyDelete
  23. such a darling baby. jamani sina mtoto ila natamani ningepata baba mzuri nizae nae cause am pretty enough so when the two of us collide we gin get a boomb shelll fine baby. happy birthday TREASURE.

    ReplyDelete
  24. happy birhday treasure ur so cute baby but kidogo tu ungekuwa na kengeza mwanangu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...