Home
Unlabelled
hepi bethdei ya kuzaliwa treasure
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
she is cute.happy birthday treasure!
ReplyDeleteJamani tungemtumia huyu binti zawadi namna gani? Ongera binti wetu
ReplyDeleteMUNGU na amjalie maisha marefu na yenye fanaka. Sasa, mzee Theobard ikiwezekana punguza pombe ili huyu mtoto asome, mtoto mzuri kama huyu bila elimu ni balaa
ReplyDeleteHALOO MREMBO WA 2018 HEPI BETHDEI TUU YUU.
ReplyDeleteShe is so sweet - happy birthday!!!!
ReplyDeletekwani jamani kuna hepi bethdei ngapi? ya kuzaliwa na ya ........
ReplyDeletenauliza tu
Jamani katoto kazuri duuu hongereni wazazi .happy birthday treasure na kweli ni treasure
ReplyDeleteHAPPY BIRTHDAY SWEETY.
ReplyDeleteAnon wa pili unaharibu lugha,hakuna "ongera" bali "hongera".Pili umekosea huwezi kusema "binti wetu" kule maana nzuri ya kiswahili ungesema "binti yetu".
ReplyDeleteSentenso nzima ungeandika "hongera binti yetu"
Hongera Wazazi kwa kulea, POLE NA HONGERA MAMA MZAZI KWA KUBEBA MINBA MIEZI TISA NA KUMLETA DUNIANI SALAMA HUYO KIUMBE MREMBO.
ReplyDeletethen HAPPY Bday Baby T. Jamani kumbukeni sana kinA-MAMA wakati wa birthdays za watoto, Hiyo kazi ni kubwa. MAMA WAZAZI OYEEEEEEEEEEEEEE KOTE DUNIANI.
baby T you are so Cute,mwaaaaaaaaaaa
Kifimbocheza umekosea,sio "sentenso" bali ni "sentensi".
ReplyDeletehappy birthday cutee!love you.chuchuchuu,tototoo!
ReplyDeleteshe is such a treasure! Happy Birthday sweetheart. May you live to see many many more! God bless you and your parents
ReplyDeleteooh jamaniiiiiiiii katoto kazuriiiiiii hepi bethidei treasure...mwaaah!
ReplyDeleteBinti ni mrembo sana, kwanza hongera kwa hilo. Pili, wazazi chondechonde muhakikishe mtoto mzuri anakwenda shule, tena shule hasa, ikiwezekana kabisa mpelekeni shule za St, st, kuanzia chekechea mpaka universty, mchezo wa kumpeleka shule za yeboyebo siungi mkono kabisa.
ReplyDeleteTatu, HEPI BESIDEI TOTOO MZURI.
Q
ehh! Safi sana. Mkwe wangu weye! Nina kijana wa kiume machachari sana. Hapa atazimika tu
ReplyDeleteMijitu mingine in bore mmeaona hapa ni sehemu ya kukosoana au kufundishana kiswahili na kuandika.comment zenu haziendani hata na topic.hata mtu kama kakosea ila unaelewa anamaanisha nini kutokana na hizo comment zenu mlizo toa.
ReplyDeletewaaaaaaaaaaaaaaoooo, such a cute baby, happy birthday Treasure, usimwache elimu aende zake tell ur parents that ok.?
ReplyDeleteebwanaeee wazuri kweli hawaishi nimekubali, katoto kapo so cute sipati picha kakifikisha miaka 18 itakuaje. This is really a treasure kama jina lake lilivyo(ama Lulu kwa kiswahili wale wasiojua) Bwana Theobard na My wife wako nawapa hongera kwa kutulea mrembo huyu pia nawasihi muanze kujibana sasa ili mtoto asomee zile shule za st st kama mwenzangu alivyosema hapo juu vinginevyo mtakua na kazi ngumu sana ya kupokea wageni getini wakijidai eti wanasoma nae wamekuja kuazima kitabu au kujisomea
ReplyDeleteNovember 08, 2008 11:03 PM sentenso yangu ni sahihi,sijakosea.Kisarufi huwezi kusema "sentensi" inakuwa kama unatafsiri kutoka katika lugha ya kingereza kwenda kiswahili.Kwa hiyo ni sahihi
ReplyDeleteHappy b'day sweetheart, your a such adorable baby,love ya mwaaah.
ReplyDeleteooh!! what a cute and sweet gal. Happy birthday Treasure.
ReplyDeletesuch a darling baby. jamani sina mtoto ila natamani ningepata baba mzuri nizae nae cause am pretty enough so when the two of us collide we gin get a boomb shelll fine baby. happy birthday TREASURE.
ReplyDeletehappy birhday treasure ur so cute baby but kidogo tu ungekuwa na kengeza mwanangu
ReplyDelete