Home
Unlabelled
jk ateta na rais wa libya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongera Vasco Da Gama
ReplyDeleteHapo anamwambia Gadafi
ReplyDelete"Hii suti nilinunua Marekani nilipoalikwa na Bush"
Bwana weee mwenzio mimi napigwa mawe siku hizi
ReplyDeleteSijui ni comment!!!?? Au nikae kimya tu kwa sababu haitasaidia chochote!!!!!
ReplyDeleteIla mwambieni mshkaji huku elimu imesimama! Kuanzia shule za msingi mpaka Vyuo Vikuu.
wabongo bwana,wakati mnamchagua hamkujua kama anapenda vi trip??mbona zake tangu alipokua waziri.
ReplyDeleteKIKWETE ANAONGEA NA BUSH NA THE SAME TIME GADAFI INABIDI ACHAGUE MAANA HUYO GADAFI HAPA MAREKANI DRAMA
ReplyDeleteAlimpaga Amin silaha wakati ule wa vita vya Kagera. Dege lilitunguliwa airport kabla ya kupakua silaha
ReplyDeleteuyu jamaa mi kashanchosha yaani. yeye kila siku maholiday tu nje ya nchi, huku nchi imejaa matatizo. ndo mana washkaji wanampopoa kwa mastoni. licheki
ReplyDeleteIle Deal ya OIC ``Its a done deal``..... Misaaada basi! tehe tehe tehe!!
ReplyDeletekwani zein haifiki huko? si shule ya msingi ni kuanzia kida geti mpaka mwisho sijui ndo vyuo vukuu sijui mtumieni sms huyoooooo
ReplyDeleteDah, Huyu mchizi kwa safari hajambo!!!
ReplyDeleteNAOMBA KUTOA HAJA HUYU NINAOMBA TUMUNGEZEE CHEO AITEWE RAIS WA MAMBO YA NCHI ZA NJE MAANA JAMAA HAKAI NCHINI KWAKE NYERERE ANGEFANYA HIVYO HATA YEYE ASINGESOMA VERY SAD
ReplyDeleteNyerere kageuka kule kaburini nusu afufuke kumuona mwanafunzi wake kikwete akitweta na mzee gadafi!!!
ReplyDeletembona huyu jamaa anaonekana kama vile ana mikono 3?
ReplyDeletehuyu GADAFI raisi tangu wakati nikiwa shule ya msingi,mh kapendeza na guo lake.yah abibi umekaa kibeberu mh na JK nae kapendeza.
ReplyDeletemie nangoja picture ya JK na Obama pamoja watakuwa wamekucha sana,mana wanavutia na wanajua kuvaaa.
michuzi ukiipata tuuuuuu,weka tena big size.nawapenda sana JK na Obama.
nyie wote mnaotoa maoni nafikiri ni walevi na hamna upeo wa kufikiria huyu si rais tu wa tz bali ni chairman wa AU kama hamjui hii ni ziara ya kazi na haigharamiwi na watanzania bali AU Organization ndio inayogharamia. Nyie mnachotakiwa mshukuru kuwa rais anawatangazia nchi na kuhusu hao waliompiga mawe ni wahuni tu wa vyama vya upinzania ambao hawapendi kukubaliwa na kupendwa kwa JK hiyo hata sioni kama ni isu kwani hao ni kama nyinyi machizi mnajua kuongea pumba tu fanyeni kazi na mpunguze kuongea sana.
ReplyDeletetembea sana Mr Presdent lakin mambo ya Warabu waachie wenyew, pia tulia kidogo uendeleze nchi. si lazim uende wewe unaweza kumtuma wazir pia
ReplyDeleteanapenda sana kupanda ndege
ReplyDeleteziara ya AU inagharamiwa na AU? hata huyo body guard wake atalipwa na AU, HIYO NDEGE MAFUTA NA MAINTENANCE NI AU? AKINA MICHUZI ANAOFUATANA NAO WANALIPWA NA AU?N NA MSHARA WAKE WA SIKU HIZO AKIWA NJE ATALIPWA AU ATASAMEHE? HUO MUDA ANAOTUMIA UTALIPWA NA AU? AMBA WATANZANIA WANAMKOSA KWA MAENDELEO YAO?
ReplyDeletewe anonymous 7:03 MNAFIKI mkubwa ungekuwa karibu una stahili kupopolewa na mawe kabisa.
ReplyDeleteAnatangaza nchi ili iweje.
Haka kajamaa not serious kabisa, na utakasikia kanaenda kumpongeza Obama...si tupo.... u will see.
Muumba ndie apangae uongozi wa mahali popote duniani,,,ata msemeje ni wakati wa JK tu,
ReplyDeleteila duh!!ivi JK hana basi ata kavazi katakofanania asili-asili??yan aazishe tu kavazi unique ivi tofauti na mivazi ya kizungu,,maana iyo miwestern suti keeeeeeeeeeero kweli afu aonekana too artificial cheki mwezie na vazi lake maridadi
mdau wa nov 21. 9.53am we ni mshamba sana hamnazo kabisa sasa unataka ndugu mh akialikwa na Obama asiende? ungealikwa wewe usinge enda? unaalikwa kwenye vijiparty njaa njaa viharusi unaenda itakuwa mwariko wa raisi wa Marekani? duh wewe ni mshamba sana.
ReplyDeleteJK nendaaaaa ukialikwa vaa GEORGIO ARMANI SUIT, VIATU FARAGANO,TIE VERSACE,CHUPI NA SOX TOMMY HILLFINGER.
waonyeshe ulimwengu kama TZ imejaliwa rais mzuri anaejuwa kuvaa yani JK sengine anamshinda hata Obama kwa umaridadi na uzuri
nakufagilia wa wa waaaaaaaaa.
mimi ni JK GIRL.
we mdau wa 12:35 am a.k.a JK girl nakuunga mkono sana tena ungekuwa karibu ningekutunza wewe ndo mwenye akili humu kwakweli, sisi bwana sio tuna mfagilia kikwete bure bali tunampa haki yeke kama anasafiri kikazi na anaonana na wakuu wa nchi nyingine kwa nini tulalamike bila mpango au mnataka alale usingizi ikulu?
ReplyDeleteJK anatuwakilisha jamani si vizuri kumpa madongo inabada tumuunge mkono raisi wetu ili kumpa moyo zaidi hususana kwenye mambo ya maendeleo hebu tizameni hao wafalme wa nchi za kiarabu wanavyosafiri kwenda kwenye ma vacation lakini raia wao hata hawalalamiki sisi raisi wetu hatumsikii vacation ila kazi tu hebu mpeni credit jamani.
we mdau uliemunga mkona JK GIRL ,i feel you mshikaji kwakweli JK kaitangaza nchi ya TZ mnoo sikuizi macelebrity kibao wanakuja TZ kutembea,
ReplyDeletepia anajuwa style mimi namshukuru sana vile alivokuwa havai makaunda suit,isipokuwa akiwa bungeni au ziara za mikoa lakini nchi za madola anapiga masuit ya nguvu.maridadi sana.
isitoshe kusafiri safiri kunachokesha sana watu hawaelewi,tena badala ya kutuma mawaziri anaenda mwenyewe kutupigia debe wananchi wake
sanyingini anajidharirisha kwajiri yetu alafu mijitu inamsema eti anasafiri mno,kwani mmesikia yeye ni limbukeni wa safari?
Na wewe anon wa Nov 24, 1:04 AM sijui umezaliwa juzi? Nani kakwambia macelebrity wameanza kuja TZ kutembea siku hizi za JK?
ReplyDeleteUna habari kuwa kina Mohameid Ali (boxer), Marehemu James Brown (gwiji la Music), Rev. Jesse Jackson wote walifika TZ miaka ya zamani sana. Hata maraisi wenyewe na wanaharakati walishafika miaka hiyo, kina Fidel Castro wa Cuba, marehemu Che Guevara, etc.
Naona ulikuwa bado hujazaliwa weye. Muombe bro Michuzi ufike pale ofisini kwake aweza kukuonyesha picha zao walizopiga wakiwa bongo.
Na wewe hapo juu unachekesha sana kusema anapiga masuti ya nguvu JK. Wewe mchizi kweli kwani akivaa nguo za asilia hawezi kupendeza anapokuwa nje? Mbona babu Mandela anapendeza sana tu na mashati yake? Tena Bill Clinton nasikia aliwahi muulizia Madiba style yake na kusema anaipenda, basi Madiba akampatia zawadi Clinton alipoenda SA kwenye kikao cha chama chao cha wazee members wengine ni kina Jim Carter, Kofi Anani, etc
ReplyDeletewe mdau wa 4:45 pm wewe wewe wewe ndo mchizi tene huna akili hebu tupe hizo nguo za asili yetu hebu tueleze ..hizo khanga na vitenge zenyewe tumeletewa na wahindi tumebambikizwa tu wao wanafanya biashara na sisi tunasema asilia wakati kabla ya hapo mama zetu walikuwa wakivaa balongo enzi za baba wa taifa sasa hiyo nguo asilia ni ipi?au mnaiga wawest africa mna claim asili yenu!!!! ovyoooooooooooooooo
ReplyDelete