Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. KP angalia kiswahili chako hicho. kuku hawachonjani bali wanachinjwa tu.

    mzenji

    ReplyDelete
  2. Kipanya!
    Nyani haoni KUNDULE!Tunayaona ya wenzetu tu.

    ReplyDelete
  3. wajameni na mimi kwa mara ya kwanza nimetoka kidogo nje ya bongo kwa kaka mswati. Hivi "MTALII' wetu MKUU amewatembelea? maana huyu mtalii n'nji imemshinda kabisaaa! na sasa afanyacho hajui tena.Tulimuweka MSANII wa nguvu madarakani na sasa ni kilio Tanzania.

    Mangi wa K'Koo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...