Home
Unlabelled
kamongo ndani ya break point
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Balozi Mithupu! sasa ivi inabidi ubadilike, hizi promo za ajabu ajabu zinazokufanya upate ofa ya dina la mchana hapo breakpoint ndo zinazokutia matatani.
ReplyDeleteUmlimfagilia sana Johnson Lukaza, kumbe mjaa kupe..nxt time vipromo vyenye harufu ya rushwa njaa uwe unavichunia japo najua ndo vinakufanya uishi mjini kiulaini...Bongo tambarare bwana.
Kamongo ndio nini? Mbona inaonekana kama mizoga fulani, kamongo ni mnyama au ni nani? Wabongo ndio maana mnapata magonjwa ovyo ovyo kwa kula vitu vichafu.
ReplyDeletewe anon wa pili funga kopo lako unajifanya ujui kamongo,halafu acha kukandia wabongo.muone kwanza sura mbaya.
ReplyDeleteOyaaaa Balozi wa nani hii thx sana kwa kunionyesha huyo kamongo aliyemfanya pegere kukosa market
ReplyDeleteDanganya toto. ati anapenda sana hii akijaga...obama anapenda hiyo sijui kimongo duh hii kali
ReplyDeletebaraka amevisit Kenya twice
barack obama anapenda chili
Mwanzo Nilifikiri ni Ngozi za Mbuzi. Ghafla nikaona kamongo, sifahamu kamongo ni nini ila anaonekana kama samaki. Na kama ni samaki lazima atakuwa ana-ninyenge si mchezo, Hapo BP kunakalika kweli!?.
ReplyDeleteBoOSt3D
No! No ! NO! bro misupu hiyo siyo KAMONGO bwana hiyo inaitwa OBAMBLA! waulize wajaluo halisi soi hao feki!! kamongo anafanana na KAMBALE ila Kamongo ni mkubwa sana na anamafuta kinoma, huwezi kumkaucha. Huyo OBAMBLA ni mtamu sana kuliko PELEGE!
ReplyDeletejamani eeh msikandie mboga za wenzenu kama hamsijui nyamazenu tu,msitukuze vyakula vya watu na kudharau vyakula asilia vya kwenu....mkataa kwao ni mtumwa. Kamongo ni samaki wa kukaushwa ni watamu sana kwa ugali wa mhogo nadhani wenzangu wa kanda ya ziwa (mwanza na mara) mmenipata!!!!
ReplyDeletetena kule kwetu musoma tunawaita vibambala.