


Michuzi,
In support of Mdau Lily, Kigali is a very clean place ascompared to other East African cities. Kampala is dirty, Dar es salaamis half clean and so is Nairobi- for the latter two the clean places are parts of the city centre.
As for Kigali, it is clean all through.The trick lies in leadership. The Rwandese administration is hands-on siyo blah blah tu kama viongozi wetu wengine.
Phillip Higenyi Kakuru
ICT Resource/Webdesign
ICT MOVEMENT
Tel: +256775669099
P.O Box 5772
There is nothing clean about Kagame's Kigali.. it is tainted with blood from the western DRC
ReplyDeleteKama ni kweli mji wao ni msafi basi wanastahili pongezi ... Sisi wa Dar es Salaam we a very clean in our souls(Tuna mioyo safi) ndio maana hatupigani na majirani zetu
ReplyDeleteKwenda zako wewe usituletee ujinga ukiangalia hizo picha tu kwa nyuma kunaonekana slums zinakuja kwa kasi sasa nashindwa kuelewa kama garbage trucks zinaweza kupita huko na kukusanya uchafu. Sasa jiulize je wana-Kigali wataendelea kukusanya uchafu kila J'mosi mpk lini? is it sustainable? Where are the City planning officers? na kama sasa kunaserikali ya Kijeshi iliyo na ngozi ya demokrasia wakiondoka itakuwaje?
ReplyDeleteHiyo Kigali Convention Centre ni kweli au ni picha ya mwaka 2095?????
ReplyDeleteHAYA VIONGOZI AMKENI ANZENI KAMPENI CHANYA ZA KUWASISITIZIA WATU USAFI KUANZIA KWENYE MITAA TUNAYOISHI SIYO BLAH BLAH TU. UCHAFU NI ADUI WA MAZINGIRA..ONI KWA NINI VYOMBO VYA HABARI (RADIO, MAGAZETI, N.K) VIJITOLEE TU KUPIGA KAMPENI ZA USAFI..NINA IMANI MIJI ITAKUWA SAFI WITH TIME. MIKOA MINGINE TENA ITAKUWA NI JAMBO RAHISI VIONGOZI WAKILIVALIA NJUGA. NI DAR ITAHITAJI KAMPENI ZA NGUVU, KWA SABABU UKWELI ULIO WAZI DAR NI CHAFU...NILISHUHUDIA HII JUZI MVUA ZIMENYESHA,,,SANITATION NI MBOVU NA INATIA AIBU. CHA KUSIKITISHA BARABARA ZOTE ZILIZOJENGWA KARIBUNI ZIMEANZA KULIWA NA MAJI YA MVUA...BAADA YA MUDA KIDOGO , MASHIMO YATARUDI. SASA HELA ZOTE ZILIWEKWA KWENYE UJENZI WA BARABARA ITAKUWA SAWA SAWA NA KUTWANGA MAJI KWENYE KINU....NI AIBU.. YOTE NI KWA SABABU YA MIPANGO MIBOVU. HUWEZI KUMWAMBIA ALIE KWA JIKO KABLA HUJAMFUNDISHA KUTUMIA KIJIKO...UHAMASISHAJI UNAHITAJIKA KUSISITIZIA WATU USAFI KWA VITENDO..MDAU ASANTE
ReplyDeleteAmkeni bwana kweli Dar-es-salaam tunatakiwa usafi na kuwacha wivu ila hii sio wivu,
ReplyDelete1. KIGAli: ni mji uliokuwa umeharibika kwa vita na umejengwa kwa makampuni ya nje ya kisasa wamejengewa majengo ipe miaka minee ijayo utaona usafi wao.
2. Kigali tu ndio kumejengeka nenda kwengine uone kama kumejengeka? tizama sie nenda Arusha nenda Mwanza uone usafi hasa Mwanza sasa hivi mjini.
RWanda ni nchi ambayo sasa ndio kwanza inanyanyuka ila kwa mie bado ipo kwenye hatari sababu za ukabila. sie Tanzania tunausafi wa roho nzuri na tabia ukilinganisha na nchi zengine japo tunajiona wambeya majungu ila wenzetu nao wanajiona hivyo hivyo ndio tabia za waafrica ila sie bado tupo mbele na tuzidi kujipa moyo wenzetu wanasaidiwa na misada ya makampuni makubwa kutokana na kuonewa huruma na nchi yao. Ndosi
Licha ya usafi na viongozi kuwa serious, lakini wote huko wababaishaji na wakorofi sana. kwa hiyo dhana ya usafi wa mji inaharibu kabisa sifa ya nchi hiyo. Ugomvi ugomvi tu. Kwanini wasiwaache Wacongo waishi maisha yao wenyewe? Kama kuna interrahamwe huko, basi tumieni njia za kidemocrasia kuwadhibiti na si kuingia ndani ya nchi ya wenzenu kwa kisingizio cha kwadhibiti! It is very sad and dont know the future of Rwanda after Kagame. Labda wote wataishia The Hague
ReplyDeleteKazi kweli kweli!Kama mwendo wenyewe ndo wakujipa moyo eti mioyo yetu safi inatosha sijui ni uongozi gani utabadili fikra zetu tuwe na mtazamo wa usafi!Kigali ni safi wajameni anaebisha akajionee.Kuhusu kwamba Kagame kamwaga damu/hajamwaga hapo kidogo mi mgeni ila kuhusu usafi ninaweza kusema boldly kwamba HAKUNA MJI IN EAST AND CENTRAL AFRICA AMBAO UNAIFIKIA KIGALI KWA USAFI.Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni...sifa ya usafi wapeni wanaistahili!
ReplyDeleteUsafi .... Usafi ... Usafi Kigali kitu gani bwana ....
ReplyDeleteUshafika Arusha ukacheki mji unavyowaka? nenda Moro halafu simama msavu uone mandhari na mazingira safi, Ingia hapo Tanga halafu unipe feedback, Mbeya, Iringa, Dodoma ... we acha tu ...!!!!
Usafi wa Kigali ni kama ..................
.........
.........
"Usafi wa Jeneza ndani kuna maiti"
......
......
wabongo hamna cha moyo safi wala nini...ni kubaniana tu na choyo!
ReplyDeletebongo kuchafu plus hamna haki...na hiyo amani ilokuwepo tunayoambiwa ndo kama hivo tena...kila siku maalbino wanauliwa wizi na ujambazi..
agghhhrrr!
Wabongo bana..tuna blah bla nyingi mno..
ReplyDeleteJamaa anakwambia kwamba Kigali ni safi..here you are oohh..mioyo yetu ni misafi, sijui Kagame ana damu ya wacongo! Get life..ukweli ni kwamba Tanzania viongozi wetu ni wazembe mno tena wa kufikiria. Nenda Kariakoo, Sinza nk..maji machafu nk.. Ofcourse Kigali ina face challenges kama miji mingine..ukuaji wa haraka wa mji na population..lakini wanajitahidi kudhibiti hali ya usafi!
Swala la Congo nadhani tumuachie Kagame. Walipokufa wanyarwanda million 1994..hakuna jirani aliyekwenda kuwasaidia..leo tunawapigia kelele oohh wanaivamia Congo..ingekuwa ni Tanzania, je tungekaa kimya? Mbona Bush alikwenda Iraq kumpiga Saddam ambaye hajawahi hata kumdhuru...? Yet interahamwe killed maelfu...ni haki kweli kumlaumu Kagame?
What I can say..East Africa hakuna kiongozi mwenye vision kama Kagame. wengi wanaomponda Kagame ni wivu tuu. Na I tell you..ten years to come Rwanda will be very far! Leo Tanzania tunajivunia amani..almost miaka 50 ya uhuru lakini raia wenzetu millions wanaishi kwenye umaskini wa kutupwa. Na statistics za serikali yetu..2008..zinaonyesha kwamba 15 million Tanzanians wanaishi kwenye Umaskini wa kutupwa! Sasa hiyo amani imetusaidia vipi? au tule amani?
Tatizo la Congo partly ni failed and incompetent leadership. A challenge of many African countries... Kabila is just an incompetent president. Hajui anachokifanya. Eastern Congo ni no mans land, hakuna serikali, askari wa UN na wanajeshi wa serikali wakiona waasi wanakimbia..In otherwords Interahamwe wamekuwa free kufanya lolote..na the so called international community haina la kufanya! Then we blame Kagame?
Kagame might have his own problems. But I can asure you, what Kagame is doing for his country, JK angefanya hata nusu..tungekuwa mbali! We need a dictator with vision like Kagame.
Watanzania wenzangu, kuna wachache wetu wana wivu sana. Tujifunze machache kama yapo....Amani ni silaha ya kuunganisha na kutusaidia kujiletea maendeleo..
Umaskini siyo sifa!
Kagame do your things, inua maisha ya wananchi wako..achan na kelele za wanokuonea wivu. Kwa sababu wao wameshindwa despite miaka mingi ya amani na uhuru!
Watz acheni ubishi Dar ni chafu inanuka haifai kuishi.Fatilieni data za Mama Tibaijuka.Ni matusi kuilinganisha kigali na dar kwa usadi kwanza wabongo wenyewe wachafu hamjipendi linji mtapenda jiji lenu
ReplyDeleteAlafu nyie wa RWanda tumewaweka hapa ukimbizi mnaanza kuleta majungu yetu ya posti sio? sawa ni kusafi tumekubali ila population yenu sasa hivi mji mkuu nikidogo ngojea kujaaa muone kwanza wakorofi tu nyie hamna hata shukrani kwa uganda wala tanzania waliowapa hifadhi? mji umetengenezwa juzi bado hata miaka minne mbele mshaanzak ujisifu yetu macho likiwatokea tutawasaidia tena. wabongo mpo sio tupo kuwabeba watu tu msaada. japo yetu yanatushinda.
ReplyDeleteJamani na mimi nieona hii kwenye blog moja ya mzungu aliyetembelea Kigali
ReplyDeleteangalieni hapa
Rwanda turned out to be mountainous as well. Not as many people walking the roads though. Perhaps the most noticeable thing was the lack of garbage. The country is immaculately clean. I found out later that the government decreed that every Saturday be a national beautification day. This decree was instituted after the horrible genocide of 1994 to help instill a feeling of nationhood among an obviously traumatized, and divided population.
Ninavyosikia hata uswahilini japo nyumba za kimasikini lakini wasafi kama nini
http://www.5cense.com/Africa/pics/05_kigali_mall.jpg
Kweli wametupiga bao, hata mimi nilikua siamini mpaka nika google
ReplyDeleteNamimi nasema tembelea kwenye link hii
http://pieterfotoblog.blogspot.com/2008_01_01_archive.html
Naona tunajitetea kwamba "hata na wenzetu nao sio wasafi". Tusafishe makazi yetu kwanza ndio tulete ubishi.
ReplyDeleteUSAFI SIYO KIGALI TU HATA UKITOKA NJE YA MJI UTAKUTA NI KUSAFI. DAWA SI KUSIFIA NI KUANGALIA WAMEFIKAJE HAPO. HUKO RWANDA AMRI MOJA TU INAFUTWA, IKISHATOLEWA WOTE MNAFUATA HAKUNA KUPINGA WALA KULETA MANENO YA KIPUUZI KWENYE MAGAZETI, MNAUJUA UTAWALA WA KIJESHI? BASI NDIO HIVYO AMRI TU NA WATU WANAFUATA KWA DISIPILINI YA JUU.
ReplyDeleteKUNA UTARATIBU WA WANANCHI KUSAFISHA MITAA YAO WENYEWE, JE NYIE WABONGO KWA UVIVU NA UCHAFU MTAWEZA? MAANA UCHAFU NI JADI YENU, WALA SIWATUKANI NA USHAHIDI UPO,
- NENDA WAKATI WA MVUA MITAA YA SINZA, HAKUNA TOFAUTI NA USWAHILINI WATU WANAFUNGULIA MAJI MACHAFU YATIRIRIKE BARABARANI,
- ANGALIA ILALA WAMEJENGEWE MIFEREJI, LAKINI WANAJAZA HUMO TAKA TAKA KAVU MIFEREJI INAZIMA.
- WANAWEKEWA MAPIPA YA KUWEKEA TAKA KAVU, WANAIBA AU WENGINE NA DIGIRII ZAO ZA UDSM NA KALIKITI KICHWANI WANACHANGANYA MUMOHUMO TAKA CHAFU NA MAJI MACHAFU.
- PITA MITAANI UWAONE WANAUME NA SURUALI ZAO SIO KAPUTULA WANAKOJOA KWENYE KUTA ZA NYUMBA ZA WATU AU FERI WANAKOOSHEA SAMAKI ZA WATEJA
- PITA MITAANI UKUTE WATU HAWATAKI KULIPA SHS 200 KWA WIKI YA MKUSANYA TAKA NA WANAVIZIA USIKU KUTUPA TAKA KATI KATI YA BARA BARA ZA MITAA YAO.
- PITA MITAA YENYE BUSTANI KATI YA JIJI KAMA HUJAKUTANA NA KINYESI CHA BINADAMU
hiyo ndio hali halisi ya jiji la Dar es Salaam, maneno mengi ujanja mwingi lakini uchafu mpaka kooni, eti wako mujini!
Mimi mkulima mnanishangaza sana kwani kuwa na kamji kasafi kunaleta raha gani? nani anaye fagia? nikikuuliza wewe unayesema kigali kamji kazuri kuwa unangependa uzaliwe kigali au dar es salaam, mbona asilimia 200% utasema dar es salaam.
ReplyDeleteHebu niende nikafunge mbuzi wangu kabla hawajakimbia
ni mimi Mkulima
Kweli wadau si Utani Kigali kusafi...Harafu ni likla jukumu la mwananchi yaani hata wakimaliza kusugua vocha hawatupi angalau aweke mfukoni akatupe nyumbani..Harafu kagame hana urafiki ukireta uzembe kazini unaacha kazi sio sisi tunabebana.Nashangaa tunaona Mafisadi wa EPA lakini Richmond wanapeta
ReplyDeleteHivi nyie mnawajua Nterahamwe...wale usipowadhibiti watakumaliza maana mwendo wao mapanga tu.Na wazungu wasitutishe na The Hugie wenyewe wanafanya mangapi?Africa inabidi isimame...Kila siku Gadafi anawaambia tuungane wanakataa ndo maana wanatunyanyasa hivi.
ReplyDeleteNa Pesa zakuibiwa Congo mji wowote utakuwa msafi...
ReplyDeletewadau jamani msipende tu KUHATE fo the sake of HATING! wabongo tupo sana shallow kila kitu tunataka tu kuponda! wanaoponda hata kigali hamjawahi kufika..mie ninakaa kigali for 2 years nipo huku kikazi. KIGALI NI PASAFI MNOOOOO! watu hawaruhusiwi kutupa vitu ovyo na kuna wasafisha barabara kila muda kuna dustbins kila mahali watu wanajali usafi wa mazingira. kila jumamosi ya mwisho wa mwezi kuna kitu wanaita OMUGANDA amambo watu wanaenda kusaifsha mji! mji umejengeka iyo convetion centre inajengwa na BILL GATES bado haijajengwa ila wanataka kujenga kitu kama hicho kwenye picha..njooni mjionee! msitumie GENOCIDE kama kigezo cha kuwabeza yale ni matatizo yalitokea ndio ila kwa sasa ni history na tukubali wenzetu wasafi!!
ReplyDeletembona hii issue mmeikalia sana shingoni. yeah kikali ni kusafi si mhamie huko.
ReplyDeleteIT IS TRUE, TIME HAS COME NOW TO CALL RED, RED, AND BLUE, BLUE. IT IS HIM KAGAME WHO IS FUNDING THE WAR IN EAST CONGO BY USING THE REBELS, AND AT THE SAME TIME STEALING THE ALL MINERALS TO ACCUMULATE WEALTH FOR HIM SELF AND HIS FRIENDS AS WELL AS IN TURN FUNDING ALL THOSE CLEAN YOU ARE TALKING ABOUT, HE MUST STOP NOW TO KILL PEOPLE IN OTHER PEOPLE'S COUNTRY. AFRICANS WE MUST STAND NOW AND SAY ENOUGH IS ENOUGH ORDINARY FOLKS NEED DEVELOPMENT AS WELL.
ReplyDeleteTatizo ni ulimbukeni , ETI BONGO KAMA NY .
ReplyDelete.....mtaendelea kuwa nyuma kwa sababu hamtaki kukubali uhalisi . ukujua hali yako ma tatizo nini itakuwa rahisi kujikwamua.
kufananisha kigali na Arusha ni dalili ya lack of exposure.
KIGALI YA MWAKA 1980`S BADO ILIKUWA SAFI KULIKO ARUSHA YA LEO, TEMBEENI MJIONEE ,
KAZI KUSHINDIA UGALI NA PICHA YA SAMAKI KISHA MALETA HASIRA ZENU KTK WEB .
Mh!Yaani wabongo tu wabishi kuliko kiasi.Mimi siwezi kucoment kuhusu usafi wa Kigali kwa kuwa sijafika, ila kwa upande wa bongo kweli mji wetu NI MCHAFU. Na kuhusu suala la vita/kupigana mapanga, nikiangalia trend ya hali ya kisiasa/kiuchumi/kijamii ktk nchi yetu, naogopa sana,naona bora nifunge macho niombe Mola atuepushe na yanayoweza kuwa makubwa zaidi hata ya Rwanda. Nani alijua Kenya damu ingemwagika kiasi kile?TARIME JE?Rwanda kuna makabila mawili makubwa yenye uhasama mkubwa. Jst imagine Tanzania ingekuwa ni nchi ya Waryachoki na mananihii wa huko Mara(samahani napata kigugumizi cha kuwataja), amani hii kweli ingekuwepo?Mi naona kuliko kuwatunga wenzetu kidole bora na sisi tujiangalie kama kweli amani hiyo ipo na ni ya kudumu...moyoni, mfukoni, shuleni, hospitalini...mh!
ReplyDeleteHistoria inatuthibitishia kwamba kila mara dunia ilikumbwa na machafuka, vita, maasi na maafa basi mwanadamu anafunguka upe na akili na kuwa makini zaidi. Maandiko matakatifu tangu enzi za babu Abraham, Yakobo, Isaka, Musa na hata Yesu imethibitisha hayo. Vita kuu ya kwanza na ya pili za dunia zimedhihirisha haya. Tunahitaji maafa ili tufungue macho na kuwa makini. Haya ndio matokeo ya mauaji ya kimbari ya Rwanda ! Big up Kigali and Museveni.
ReplyDeletebongo hakuna amani kuna uoga, mi niko kigali kusafi na salama, jamaa wamejifunza kutokana na yaliyotokea, ila uwapo kigali vitu muhimu kuvijua ni:
ReplyDelete1. Rwanda kuna wanawake warembo sana,ila kuwa makini.. akili kichwani!!.
2. Wanyarwanda wako sensitive sana usizungumzie ukabila,wote ni Wanyarwanda!
3. Siasa zao waachie wenyewe usichangie wala ku comment chochote.
4. Kamwe usi criticize au kuongea lolote kuhusu serikali labda kusifia.
5. Tembelea genocide memoria ujapo Rwanda kujua tamaduni na historia za wanyarwanda.
6. Kiswahili kinatumika kidogo zaidi watu toka Tanzania kongo na Burundi ndo hukizungumza
7. Ubalozi wa Tz uko njia ya kwenda Nyarutarama,au MTN centre.
8. Carwash ni baa inayojaa wakenya na watanzania zaidi.
9. Kuna basi la kutoka Rwanda mpaka dar kila wiki,
10. Rwandair husafiri Kilimanjaro,Nairobi,Burundi entebe na south Africa.
kigali safi huo ndo ukweli, wabongo acheni ubishi na malumbano yasiyokuwa na maana. hata sie tuliokuja huku tunajua, hali hii si bure ila kuna kazi imefanyika kwa taarifa yako hii ndo kinachosaidia kigali kuwa safi:
ReplyDelete1. Kitu cha kwanza ni nia na utayari wa kiongozi, kuna hamasa na nia ya dhati kufanya nchi kuwa safi, kiongozi mkubwa alisema jamani lazima muwe wasafi kama mkikataa nitakuwa radhi kuwalazimisha mpaka muwe wasafi na kama hiyo ni dhambi nitakuwa tayari kujibu hata mbele ya Manani, amini usiamini ukipata kiongozi shupavu inawezekana!!..
2. kila jumamosi ya mwisho wa mwezi ni siku ya usafi(mugandaa) kila mkazi anatakiwa kwenda kwenye serikali ya mtaa ambambo wanaratibu shughuli nzima,siku hiyo barabara hufungwa toka saa 1 hadi 6 mchana na hakuna gari wala mtu huruhusiwa kuranda randa,ili upite labda uwe mahututi kwenye ambulance au uwe na kibali toka kwa waziri na kumpata ni ndoto kwani atakuwa kweye usafi wakati huo, baada ya usafi mnakutana na mnajadili mambo mbalimbali ya kimaendelea hivyo kila mtu anachangia ni jinsi gani na nini kifanyike,then mnafanya ka uchakavu au wenyenazo wanaanza kuzungusha huku mkiendelea ku burudika baada ya kazi...
3. Nylon(malboro)haziruhusiwi, kila entry point wanakagua na kuchana chana mifuko yote ya lailoni,kama ulibeba vitu utaitajika kununua mfuko wa nguo ama karatasi ukishindwa wanaruhusu kubepa kwa mkono.
4. Sababu nyingine ni sheria,hapa hakuna mzaha katika hilo,mambo ya kuweka vibanda mji mzima eti uuze vocha hapa hakuna, au unajenga hata katikati ya barabara mradi niweke bendera ya c c chama kwa kuwa ni kipindi cha uchaguzi hakuna hapa, na hawakuvunjii tu utawalipa kwa kukuvunjia na kukufunga juu.
5. Mlungula na ufisadi, wabongo tuna imani kuwa haiwezekani watu kuishi bila mlungula, lakini hapa hata kama upo basi ni kidog sana, usije Kigali ukajidai kupinda sheria na kutoa vi senti vyako utajikuta na kesi mbili, by the way huku hakuna atakae pokea mlungula mpaka akujua vilivyo kuwa hutamchoma,
jamani ebu tuache ubishi, kuna vitu tunaweza kujifunza japo kidogo toka kwa hawa jamaa,mi niiko kigali na kwa mtazamo wangu usafi wao unatokana na yafuatayao;
ReplyDelete1. nia na utayari wa kiongozi, kuna hamasa na nia ya dhati kufanya nchi kuwa safi, kiongozi mkubwa alisema jamani lazima muwe wasafi kama mkikataa nitakuwa radhi kuwalazimisha mpaka muwe wasafi na kama hiyo ni dhambi nitakuwa tayari kujibu hata mbele ya Manani, amini usiamini ukipata kiongozi shupavu inawezekana!!..
2. kila jumamosi ya mwisho wa mwezi ni siku ya usafi(mugandaa) kila mkazi anatakiwa kwenda kwenye serikali ya mtaa ambambo wanaratibu shughuli nzima,siku hiyo barabara hufungwa toka saa 1 hadi 6 mchana na hakuna gari wala mtu huruhusiwa kuranda randa,ili upite labda uwe mahututi kwenye ambulance au uwe na kibali toka kwa waziri na kumpata ni ndoto kwani atakuwa kweye usafi wakati huo, baada ya usafi mnakutana na mnajadili mambo mbalimbali ya kimaendelea hivyo kila mtu anachangia ni jinsi gani na nini kifanyike,then mnafanya ka uchakavu au wenyenazo wanaanza kuzungusha huku mkiendelea ku burudika baada ya kazi...
3. Nylon(malboro)haziruhusiwi, kila entry point wanakagua na kuchana chana mifuko yote ya lailoni,kama ulibeba vitu utaitajika kununua mfuko wa nguo ama karatasi ukishindwa wanaruhusu kubepa kwa mkono.
4. Sababu nyingine ni sheria,hapa hakuna mzaha katika hilo,mambo ya kuweka vibanda mji mzima eti uuze vocha hapa hakuna, au unajenga hata katikati ya barabara mradi niweke bendera ya c c chama kwa kuwa ni kipindi cha uchaguzi hakuna hapa, na hawakuvunjii tu utawalipa kwa kukuvunjia na kukufunga juu.
5. Mlungula na ufisadi, wabongo tuna imani kuwa haiwezekani watu kuishi bila mlungula, lakini hapa hata kama upo basi ni kidog sana, usije Kigali ukajidai kupinda sheria na kutoa vi senti vyako utajikuta na kesi mbili, by the way huku hakuna atakae pokea mlungula mpaka akujua vilivyo kuwa hutamchoma,
zaidi ya usafi kuna funzo lingineKitu kingine kujifunza Rwanda ni usalama(sio amani maana amani iko moyoni)na naomba wabongo wenzangu tofautisheni amani na uninga na uoga. Rwanda ni salama zaidi ya bongo, Nairobi na kampala,huwezi sikia eti mtu amepigwa mapanga, au bank imevunjwa au majambazi yamepambanana askari kwa kurushiana risasi,hii ni kwa sababu mzee ha take chance…kilichotokea hakiruhusiwi kutokea tena hivyo wanajilinda sana inadhaniwa kuna ma shushushu wengi sana hivyo hapa kila mtu anakuwa makini.important assumption kwa sie wakazi wageni ni kuwa nusu ya watu unaowaona mbele yako ni ma spy.si unajua hakuna natural resources nyingi so ajira kubwa hapa inajulikana.wach out.
ReplyDeletejamani acheni ubishi, kigali kusafi kilakitu kama mnavyoona kasoro iyo picha ya kwanza jengo ndo kwanza wanakaribia kuanza kujenga, litakuwa pale karibu na round about kama unatoka aiprot na mbele ya pentagon kama unatoka town, by the way kinachosaidia hapa ni amri tu, hawana muda ka huu wa kudebate hata vitu obvious, acheni wivu hata mzee mkubwa akiwa serious akatoa amri leo bongo itakuwa safi, mbona wakati wa keenja ilikuwa na afadhali, kama akiwa msafi na mpenda usafi akawabana hao watendaji wake nao wabanane na wananchi bongo itakuwa safi tu, ila na watu mbalidilike fikra
ReplyDeleteENYI WATANZANIA,NISIKILIZENI MIMI. MIMI NSHAISHI KIGALI,RWANDA SEHEMU ZA KIVU KWA MIAKA 6. NTERAHAMWE MNAWAJUA NYINYI? KIGALI IS SAFE- BECAUSE PEOPLE WANATISHIWA SANA.KUNA MTU HUKO JUU KASEMA 'MZEE HA TAKE CHANCES' IN SHORT,MTU AKIWA ARRESTED,JUA KWAMBA HATARUDI MTAANI TENA. NOT BECAUSE ATAFUNGWA JELA,BUT THAT PERSON SHALL BE KILLED. THAT COUNTRY IS DICTATORED,ILA WATU TU HAWAJUI.NA HATA HUYO RAIS WAO ANAEFUND VITA VYA WESTERN DRC,NAE NI FISADI TU KAMA HUKO BONGO. THE CITY IS CLEAN,NA KILA JUMAMOSI YA MWISHO,WATU WANALAZIMISHWA KUFAGIA NCHI,MITAA ETC, MADUKA YOTE NA HOTELI ZINAFUNGWA,UKIKUTWA UNAZAGAA ZAGAA MTAANI LABDA UNAENDA KWENYE SHUGULI ZAKO,UNAKAMATWA NA KUPELEKWA KWENYE DAMPO LA KIGALI USAIDIE KUTOA UCHAFU! JAMANI NIMEISHI KIGALI MIAKA 6,MSILETE KUKURU KAKARA ZENU. KIGALI IS MUCH CLEANER THAN DAR ES SALAAM,BECAUSE KAGAME CONTROLS HIS PEOPLE. THEY ARE ON THE PALMS OF HIS HANDS. I DOUBT KAMA UFISADI UNGETOKEA KULE, PEOPLE WOULD HAVE HAD MUCH SAY.PEOPLE'S MOUTHS ARE SHUT. I WISH SOMEBODY CONVEYS THIS MESSAGE TO THE U.N. IT IS SAD TO WATCH, PEOPLE CANT EVEN TALK ABOUT THEIR HUTU-TUTSI RACES OR THEY'L BE IN TROUBLE
ReplyDeleteNakubali Kigali ni pasafi. Why? Kwa sababu wana uongozi imara na unaofuatilia maamuzi. Hakuna ubabaishaji na uswahili. Angalia Dar wanaopambana na usafi kuwakumbusha viongozi wa manispaa ni Kandoro na Madc wake. Mameya, wenyeviti wa serikali za mitaa na Mabwana Usafishaji wa Manispaa hawana habari kabisaa. Kwa kweli Tanzania kwa hali ya sasa inahitaji viongozi madikteta wasio na haya wala aibu. Hivi sasa Rwanda pamoja na udogo wake wanayo leadership isiyokuwa na masihara.
ReplyDeletenyie hiyo juu ni mfano tu wa 2011 kama ikifika ni uwezo wam ungu na kama watengenezaji pesa zikikubali niuwezo wa mungu kujengwa hiyo hapo rwanda, sikatai tuwasifu rwanda kwa usafi tuige sababu mengi yamewakuta wamejifunza. ila anayesema nairobi na kampala husikii majambazi sababu jambazi hawezi kufanya kitu kibaya kwao majambazi asilimia kubwa tanzania ni kutoka Kenya anaebisha na abishe huo ndio ukweli. watanzania tunatabia nzuri na usafi soon tutajitahidi toweni majungu. tumewaweka tanzania kwa usalama hasa viongozi wenu OBOTE,hao wananchi wenu Rwanda na viongozi wenu Obote mungu amrehemu tumemtunza wa Uganda, Kenya wajifunze omba omba wao wawe na nizamu kidogo.
ReplyDeleteKi"car" ni pasafi ... So what...?????
ReplyDelete........
........
As far as I know wananchi na wakazi wa Ki"car" hawana peace of mind
Kagame asubiri tu "Things going around will come around"
Huwezi kuwa"treat" wananchi wako kama mifugo
Ni "wrong" kabisa kutumia sheria za kijeshi ku"manage" raia ...its very wrong and against human rights
Kagame will regret one day of all he is doing and have been doing to people of Rwanda(our brothers and sisters) na majirani zake particularly Congo, The DRC
Usafi huo ni artificial na wala sio usafi kama uliopo katika maeneo mengi yaliyopo hapa Tanzania ambao ni very natural
ndugu zangu Dar-is-a slum, kuhusu wanyarwanda wacha usafi hata mpira siku hizi wanatushinda, wabongo tumebakia ubishi tu. this country went through genocide in 1994 lakini inaonekana kama sisi ndio tumepitia genocide!!!!
ReplyDelete