Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. EWURA ndio nini?

    ReplyDelete
  2. Mimi pia imeniacha mbali

    ReplyDelete
  3. ACHENI USHAMBA NYIE!! ALA??

    ReplyDelete
  4. Nilivyomuelewa KP ni kwamba EWURA ni jibwa koko lisilokuwa na meno wala makali.

    Nakaribisha maoni tofauti

    D

    ReplyDelete
  5. mko nchi gani nyie ambao hamjui EWURA??nyamafu wakubwa
    yan kuna wehu hii nchi acheni
    sasa kituko kingine zile "charges za car parking" yan niko hoi

    ReplyDelete
  6. wabongo bwana..wajinga sana. mtu akiuliza swali,ana maana hajui KUULIZA SIO UJINGA..wenzetu wanauliza na kufahamishwa na ndio maana wanaendelea. mmbongo akijua kitu,hata share, anataka awe peke yake matokeo yake poverty! shenzi sana wewe nov 11 anon 3:51 una roho ya korosho! kama unajua ewura ni nini mbona hujawahambia wenzako?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...