Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Kipanya you made my day!!!!!!!! wabongo wanachongachonga saaana lakini siku hazigandi. President ndani ya bajaji utawasikia bado wanachonga kwamba ina gharama.

    ReplyDelete
  2. ndo ukweli wenyewe,,,ata msemeje
    safarizzzzzz

    ReplyDelete
  3. haswaaaaaaa hadari ndo hiyo........wabongo ndo tulivyo

    ReplyDelete
  4. Haswaaaaaaa habari ndo hiyo........wabongo ndivyo tulivyo

    ReplyDelete
  5. Wabongo nuksi kweli...

    Sisi tuliosoma zamani tunakumbuka ile hadithi ya Maskini na Punda wake nadhani inapatikana katika kitabu cha hadithi za Esopo. Kwa kifupi ukisikiliza linalosemwa na kila mtu huwezi kufanya jambo lolote la maana kwani utachanganyikiwa, kwahiyo basi, kama hatujui sababu za ikulu kubadilisha magari ni vema tuulize ni kwanini au tukae kimya na tusiseme tena. Sioni tatizo kwanini Rais asiwe na magari ya mazuri au ndiyo hivyo tunataka atembelee Bajaj ili tuanze kusema Rais anaidhalilisha nchi anatembelea Bajaj?
    Acheni kuchonga kusiko na maana.

    ReplyDelete
  6. anachotakiwa kufanya ni kubana matumizi sio kuongeza mzigo wa gharama kwa kodi zetu.

    lingine ashughulikie matatizo ya ndani ya nchi zaidi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...