Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 24 mpaka sasa

  1. Sijui anajisikiaje huko aliko!!! wasiwasi na hofu zimemjaa, maana hawezijua "who is next"?
    Tisa kumi hii ni kashfa kwakwe, kwamba he was a failure, la sivyo anahusika kwa yote haya tunayoyaona na mengine mengi tunayoyasikia. Kwa ufupi ni kwamba automatically anapaswa kuwajibika, tunaomba ajisalimishe kabla ya kuburuzwa kortini. Tunamsubiri kwa hamu, na mkumbuka kwa kauli yake moja kali ya kejeri kwa watz kuwa hatuna uwezo wa kuchimba madini, hivyo tuwaachie wenye uwezo wasombe mali na tuachiwe mashimo kama yaliyopo huko Nyamongo na Buhemba mkoani Mara.
    Najiuliza, Hivi Mwl. Nyerere naye angekuwa na tabia kama ya huyo jeuri, tungekuwa wapi? Bila shaka hata wanahabari walikuwa wakimpatapata habari zake!!!
    Ni hayo 2.

    ReplyDelete
  2. kaburi hilo KP, ngoja liendeende chini utaona kuwa kama ni kaburi au handaki. Hehehehehe, yaani wewe mambo ya Kiwira, EPA asitajwe huyo jamaa? Immunity yake inaondolewa january alafu kaburini anaingia mtu mzima. Unacheza na Bunge la siku hizi nini. Watu wasome majira na nyakati kama Msabaha.
    Tunakumiss lakini mzee mzima. Yale matusi yako nayakumbuka saana

    ReplyDelete
  3. Kimsingi kazi hii inayofanywa na Kikwete ya kupambana na mafisadi na kuisafisha nchi inatoka na uozo ndani ya serikali ya Nkapa. Huyu ndiye wa kubeba huu msalaba kwani yeye ndiye kiini cha yote haya. Anzia IPTL, kuuzwa TANESCO, NBC, Mikataba mibovu ya madini, kuiendeleza EPA na kuchota mapesa, kufanya biashara Ikulu, Mgodi wa Kiwira n.k. ambayo hatujui.

    Mwalimu Nyerere aliwahi kuuliza "Hivi kuna biashara gani Ikulu." Akaongeza "Ikulu ni mahali patakatifu." Hapo ndipo alipoibuka na Mr. Clean! Mwalimu alipotutoka tu, Ikula ikawa mahala PATAKA-VITU. Tume ya Warioba ikapigwa chini, Jaji Kisanga aliviona visanga vya Nkapa. Nchi ikajaa kashifa kila kona. Heshima na hadhi ya Chama Cha Mapinduzi ikashuka. Wananchi wakakosa imani kabisa na serikali yao.

    Aliyoacha ameyapandikiza Nkapa sasa JK anavuna matunda. Mzigo na lawama zinamwandama JK kila kukicha. Kiini cha tatizo kipo na kishughulikiwe. Tusimlaumu ndipo sipo.

    ReplyDelete
  4. yani huyu mkapa ndo tuna hamu nae sana manake jambazi lililokubuhu watanzania tuamke manake tulilala mno sasa hivi tusikubali hawa mafisadi watanulie range, kwa jasho letu wenyewe na bado hadi kieleweke

    ReplyDelete
  5. Huskies Capture 2008 Paradise Jam Title
    With Convincing Win over Wisconsin


    CHARLOTTE AMALIE, U.S. VIRGIN ISLANDS (November 24, 2008)— Junior Jerome Dyson scored 21 points to lead the No. 2 ranked University of Connecticut men’s basketball team to a 76-57 win over No. 19 University of Wisconsin in the championship game of the 2008 Paradise Jam at the University of the Virgin Islands Sports and Fitness Center.

    Junior Hasheem Thabeet was named the tournament Most Valuable Player after a dominating defensive performance over the three games. He was joined on the All-Tournament team by Dyson, UConn freshman Kemba Walker, Jack McClinton of Miami, Trevon Hughes of Wisconsin and Jeremy Wise of Southern Mississippi.

    Joining Dyson in double figures for the Huskies in the contest was senior Jeff Adrien with 14 points and eight boards and Walker, who totaled 12 points and eight boards on the night.

    UConn forced 22 Wisconsin turnovers, including three ten-second violations, and held a 31-14 advantage on points off turnovers.

    The Huskies led by nine, 56-47, with less than nine to play when Dyson sliced to the bucket for a layup and was fouled. He missed the layup, but Thabeet was fouled on the rebound and went to the line for two shots. He made one of two and the lead was 12 points, 59-47, with 8:41 to play, the biggest of the game to that point. Wisconsin would get no closer than nine points the rest of the way.

    Wisconsin had closed within two points in the early part of the second half, but UConn was able to restore the advantage back to seven with less than 11 minutes to play. Thabeet then made both ends of a one-and-one to make the score 52-43 with 10:38 to play. After a Badger bucket, Thabeet fed Gavin Edwards for a layup to make it 54-45. Wisconsin responded with a pair of free throws and Walker came back to the other end and made both ends of a one-and-one to make it 56-47 with less than nine minutes to go in the game.

    The Badgers opened the second half with a 15-7 run over seven minutes to cut a ten-point deficit to two, 45-43, with less 13 minutes left to play in regulation. Jeff Adrien helped stem the tide, following a Walker miss and converting a conventional three-point play to get the Husky lead back to five, 48-43. The teams traded turnovers on the next several possessions, culminating in a Dyson steal and emphatic dunk with 11:52 to play to make it 50-43 and then the Huskies forced a ten-second violation on the ensuing Wisconsin trip.

    The Huskies finished the first half on a 19-4 run to take a 38-28 advantage into the break. Wisconsin made its first five three-point attempts in the game and jumped out to a five-point advantage, the last of which was 24-19 with 8:21 to play in the first. UConn tied the score at 24-24 on a Thabeet follow of a Dyson missed free throw with 7:45 to go and then took its first lead since the 14:40 mark when A.J. Price hit a three from the wing on a pass from Dyson with 4:27 left in the half. UConn scored the final seven points of the half to open the double digit bulge, getting a three from Price on a nifty feed from Walker, a Dyson floater in the lane and an Austrie steal and layup all in the final 1:32 to make the count 38-28.

    UConn returns to action on Saturday, November 30 with a 1:00 p.m. contest at the XL Center in Hartford against the Bulldogs of Bryant University. The game will be televised by WCTX-TV, MyTV9 and broadcast across the UConn Radio Network on WTIC-AM 1080.
    [FrontPage Include Component]

    ReplyDelete
  6. Ok naipongeza serikali ya JK na takukuru kwa jitihada hizi.... ila nifahamisheni mwenye uwezo wa kukamata vjisenti vyao na mijimali yao yote ninani!!? na kakamata vipi mpaka mida hii??

    ReplyDelete
  7. Mchimba kaburi ................. !! Wadau malizieni.

    ReplyDelete
  8. Na kweli huyu jamaa alikuwa JEURI sana, sasa lazima ajue kuwa nchi sio ya kwake ni ya Wananchi na yeyelazima awajibike kwa uchafu huo uliotokea kipindi chake. Lakini JK naye si alikuwepo kwenye system, yeye vipi huko aliko ana raha 100% au kwa sababu ya Immunity?

    ReplyDelete
  9. ULitutukana sana Mzee. Mimi sina shaka najua sasa hivi jasho jembamba linakutoka na sasa hivi umeshajua kuwa watanzania sio wajinga uliokuwa unawatukana. Mjinga mnyonge lakini haki yake mpe. Aibu unayoipata sasa hivi ni mbaya kiasi ambacho hata huo uraisi wako hauna maana. sijui baba Yetu Nyerere angekuwepo angesema nini. Afadhali mungu amemchukua kumuepusha na aibu hii unayomletea leo. Alikuheshimu na kukuamini lakini umevunja heshima ile. I am sure he sees everything from above and he is asking himslef. WHY? OF ALL PEOPLE! HAS TO BE YOU! WHY! MY CHILD?

    ReplyDelete
  10. i wonder whos credible in that govt.
    the list is too long( corrupt)

    1.karamagi

    2.lowasa

    3.chenge

    4.mahalu

    5.balali

    6.yona

    and these are not just mugs, these are top officials

    who is clean ?

    TAKUKURU guys are coy with sumaye

    and bwm.

    michuzi utaminya hii najuwa .

    ReplyDelete
  11. Mimi nina Swali...Hivi kweli lengo ni kusafisha ufisadi au kuna agenda ya siri? Mimi naona KISASI ndiyo lengo. Najua maoni yangu mtayaminya....Ajenda yenu tunaijua.

    Mdau USA

    ReplyDelete
  12. Hii ya leo kali, na mwenzio akichimba handaki... ( Kazi murua hii Kipanya!)

    ReplyDelete
  13. Nakubaliana na wengi mnaotoa maana, haswa na Mdau USA, inawezekana ikawa na KISASI pia ndani kipo, natmaini ni kisiasa tu na wala hakuna nia mbaya zaidi, watu wamekuwa na tabia ya wivu kuwaona wengine wameendelea, hilo ni swala la watanzania wengi, ndio hatuaminiani(Yule mshikaji alipokuomba 5000 mbona ulisema hauna!!!?)Tukirudi kwenye suala hili,naomba tujue umakini wa hili jambo, tusikubali kupigwa mchanga wa macho, WALIOIBA WOTE WASHUGHULIKIWE, JK akitaka kutoa msamaha basi iwe baada ya mahakama kutoa hukumu (Au katiba inamruhusu kusamehe kabla?) Kila mtu awe na haki, hao waliokamatwa ni binadamu pia, cha msingi taratibu zote zifatwe, isije ikawa kama ya Dito(Ushahidi kupotea,ambao ulileta matata kwani yeye Dito na JK ....) Mwanyika,Hosea na wengine ambao walikuwa wanaona mikataba inasainiwa (nianzie wapi, research mwenyewe)na wao wachunguzwe, kesi ya rada imalizwe, wahusika waburuzwe(subiri kidogo suala hili ni zito mno) JK ameanza vizuri lakini,polisi imebadilika, mawaziri(mmh, hapa bado siasa nyingi na wengi sio watendaji,itachukuwa muda) lakini kasi bado ni ndogo, jeshi halijaguswa kama tunavyotaka kuona, bado tunawadekeza kiasi fulani.(labda wanastahili) Raisi lazima ajue kama anataka kufanya usafi lazima aanzie nyumbani kwake kwanza (CCM) na yeye wakati wake ukifika tutakuwa tayari kumsamehe(asikudanganye mtu,hakuna aliye safi) Nakumbuka Nyerere aliposema demokrasia itaanzia ndani ya CCM, lakini naona itaendelezwa na wapinzani(Slaa, Kabwe) kwa nini ni wachache wanaolipua nyeti ambao wako ndani ya CCM? Usiku mwema.

    ReplyDelete
  14. NAUNGANA NA BAADHI YA WAJUMBE HAPA JUU. WATU WALIOIBA AU KUTUMIA MADARAKA YAO KUSHAWISHI AU KUPOKEA, KUTOA RUSHWA KWA NJIA YOYOTE... WAKAMATWE MARA MOJA.

    KUNA UUZAJI WAKI-HOLELA ULIOFANYIKA, UUZAJI WA MALI ZA SERIKALI (NYUMBA N.K.) NA PIA UUZAJI WA MASHIRIKA YA UMMA PAMOJA NA MALI ZA ,MASHIRIKA.

    HAYA YOTE YACHIMBULIWE TUTAONA UOZO MWINGI TU NA WAHUSIKA BADO WAPO MADARAKANI.

    HII EPA HUKO BOT UDOKOZI ULIANZA MIAKA YA MWANZONI MWA 1990, HAWA JAMAA WAKIENDA NYUMA KIDOGO KWENYE UKAGUZI WAO WATAONA MADUDE.

    JK UTALAUMIWA KIASI FULANI, LAKINI KAZA ROHO SAFISHA NCHI. HUKU KUSAFISHA NCHI LAZIMA KUANZIE MAHALA NA WAKATI FULANI, NA ULE WAKATI NDIO HUU. HATA KISWAHILI TUNASEMA HAKUNA MAREFU YASIYO NA NCHA. WALE WALAJI NA WATANUAJI KUTUMIA MIGONGO YA WALIPAKODI, WALALAHOI SASA NDIO WAKATI WAO KULIPA.

    LAZIMA IFIKE MAHALA MTU AKIPEWA CHEO AJUE AMEPEWA DHAMANA, KAMA ILIVYOKUWA ZAMANI, NA SIYO KAPEWA ULAJI KAMA ILIVYO SASA.

    AKIMALIZA HAPO IFUATIE KUPITA KWENYE TAASISI...

    ReplyDelete
  15. Wee mdau unaetunakilia galazeti zima la usa hapa hujui kuwa unatuchanganyia madawa kwanza sie umeambiwa na nani twafagilia kikapu wabongo?au mnaona raha tukiitwa wote wabeba boski kwa maneno yenu mnayoyaandika hapa ktk topic zisizo hata ingiliana,umeboa bwana

    ReplyDelete
  16. Nilisoma kuhusu kama huyu mdau wa USA kama ni visasi au vipi. na alioneza ikiwa recent watuhumiwa wamekamatwa kwa ajili ya matumizi mabaya ya madaraka. How about Richmond guys? au nawe umeishapewa mlingula. Imepoteaje? Thanks

    ReplyDelete
  17. Jamani Mie Bado Giza ...Wale Jamaa Kweli Niliona Picha Zao Mahakamani.Cha Kunishangaza Tangu Lini Mahabusu Akapanda Shangingi Baadala Ya Kalandinga?? Je Hilo Shangingi Lilielekea Segerea Kweli Au Masaki??..Isije Ikawa Picha Ya X

    ReplyDelete
  18. mzee huyu,anakumbushia kuchimba madini huenda akakutana na kamgodi kengine, vilevile nahisi yuko na kamji fulani kandokando ya ziwa

    ReplyDelete
  19. jamani mliwahi kukaa nchini na kuchunguza juu ya swala hili la ufisadi limetoke ndani ya kipindi gani..!!!??????????????????
    msisahau ni ndani ya kipindi cha miaka miwili ya ubadilishanaji wa madaraka....(2005-2007) au hamkumbuki wadau... kwani mnadhani kwanini mambo haya yanaanikwa hivi kwa sasa....... kumbukeni mweshimiwa hadi sasa asipofanya hivi zile 80 na kitu asilimia za 2005 itakua ngumu kujisafisha na 10.... hi ni moja tu ya danganya toto.... na kwa sababu wabongo mnaridika kilaini bila kuunganisha matukio na fikra za baadae...
    imekula kwenu......

    ReplyDelete
  20. yan na ile GX adi masaki ndugu yangu annon,,,no kalandinga wala nini????yan adi vichekesho kwa HASIRA YA KUFANYA WENGINE MIUNGU WENGINE MAPEPO
    sh,,@@@~~###""****,,,zao kabisa wale
    waandishi muwe mwafukuzia magari yooote yatokayo apo mahakaman yanaelekeaga wapi???!!!!!SAWA
    hashimu thabiti na hii mada wapi na wapi wee fala apo

    ReplyDelete
  21. Tunaipongeza serikali ya Jk kwa kupambana na ufisadi, Keep it up!!

    ReplyDelete
  22. Nafikiri hilo analochimba bwana bmw ni kaburi maana, it seems like no where to run.

    ReplyDelete
  23. wahukumiwe sio kuwaacha tu,
    na hizo sera za kuachia makampuni ya kigeni msamaha wa kodi kwa miaka 5 halafu kubadilisha majini kwa umiliki uleule,

    malipo ni hapa hapa duniani ,tunaomba washughulikiwe ikithibitishwa ,tumechoka kunyonywa

    labda mnaendeshwa na mataifa ya nje nini? hii misaada tunayopewa nayo inaweza kututokea puani

    ReplyDelete
  24. Achimbe kubwa ili aenee na mkewe Kwa sababu hata mkewe kachapa sana kwa kutumia ngo yake. Cha ajabu ni baba watoto wa mke wake tu ndio kapelekwa selo. Usiniminye huu ni ukweli inaojulikana tz nzima.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...