Home
Unlabelled
kumbukumbu ya miriam makeba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
huyo dada wa picha ya hapo chini,mbele kabisa...daah!
ReplyDeleteRIP Miriam Makeba, amefariki siku moja baada ya show, amefariki akijua watu wanampenda na akiwa na furaha. Miriam Makeba,you are a legend!
RIP Mama, She had one of the most soothing and beautiful voices in the World. Radio station ya hapa ilipiga ile version yake ya Malaika Nakupenda, na ngozi ya mwili ilisisimika - did I get that word right? Meaning Goose bumps.
ReplyDeleteTruly an African Pride. Thank you, we are going to miss you.
Sam
sad!
ReplyDeleteMimi sijui, kwani Miriam Makeba alishakufa? Naomba mnijibu maana nimebakia mdomo wazi....
ReplyDeletekaka yangu Nsangu unazidi kupendeza huzeeki jamani long time.
ReplyDeleteNAOMBA MNIELEWESHE: YAANI ALIFARIKI BAADA YA KUPERFORM AU?
ReplyDeletePICHA HIZO NA CAPTION ZAKE ZINANICHANGANYA KIDOGO.
MEANWHILE, MY THOUGHTS AND PRAYERS GO TO HER FAMILY AND FANS
SHE COLLAPSED ON-STAGE AND WAS TAKEN TO HOSPITAL
ReplyDeletekumbukumbu ya MIRIAM MAKEBA!!!! kwani amekufa!!! si neno sahihi kama yu mzima.
ReplyDeletekumbukumbu!!! kwani kafa?
ReplyDeleteRIP Miriam. You will trully be missed!!
ReplyDeletekumbukumbu kwani amekufa, kiswahili kigumu!!!
ReplyDeleteR.I.P we will miss you Mama Miriam Makeba.
ReplyDeleteIna naye alikuwa kiboko ya kwa wanaume. Waume 23?!! Hao rasmi Duh! Soma tembea uone mambo kwa kweli
ReplyDeleteRest In Peace, Mama Makenba.
ReplyDeleteNyie hapo juu mnaoshangaa ni kwamba Miriam MAkeba amefariki Italy kwa ugonjwa wa moyo.
ReplyDeleteMwenyezi Mungu ampumzishe kwa Amani na mwanga wa milele amuangazie.
Miriam Makeba a Music Legend who will forever stay in our Hearts!Mama Afrika.Alikuwa kielelezo cha Utamaduni wa Afrika ya Kusini.Alikuwa Kioo cha Afrika.Alikuwa Balozi wa Afrika ya Kusini.Alikuwa Mwanaharakati.Alikuwa Mpigania Uhuru wa AFRIKA YA Kusini.Alikuwa mtetezi wa wanyonge na alipiga vita ubaguzi wa rangi nchini Afrika ya Kusini na Duniani kote.Kutokana na umahiri katika Muziki wake na Msimamo wake kuhusu ubaguzi wa rangi Afrika ya Kusini alijikuta akiwa Mkimbizi wa Kisiasa alielazimika kuishi uhamishoni kwa zaidi ya miaka 30 hadi pale ubaguzi wa rangi ulipotokomezwa Afrika ya Kusini.Alianza kuimba muziki akiwa na umri mdogo sana.Alikuwa mtu mwenye kipaji kikubwa katika utunzi na uimbaji.Sauti yake ilikuwa Lulu ambayo iliweza kumpumbaza kila aliyesikiliza uimbaji wake.Aliipenda sana Afrika na Watu wake.Alikuwa Balozi wa Amani na Upendo.Alikuwa Mkufunzi na Mlezi wa Vijana wa Soweto.Alipigania sana Nelson Mandela aachiwe kutoka gereza la Roben Island Afrika ya Kusini.Kwa kupinga ubaguzi wa rangi na utawala wa kimabavu wa makaburu wa Afrika ya Kusini alilazimika kuishi kwa kiuficho ficho akikabiliana na wakati mgumu sana katika maisha yake.Alizaliwa mwaka 1932 na ametutoka Duniani kwa mshituko wa moyo akiwa na umri wa miaka 76!Siku ya mwisho ya maisha yake alipofanya onesho lake la mwisho la muziki nchini Italia alionekana kuwa mzima kabisa mwenye afya njema japo alionekana kuchoka kutokana na umri mkubwa!Ni vigumu kukadiria mchango alioutoa Miriam Makeba katika vita dhidi ya ubaguzi wa rangi;katika ukombozi wa afrika ya kusini;katika kupigania haki na usawa wa rangi na kijinsia;katika kukuza na kuutangaza utamaduni wa afrika ya kusini na wa afrika nzima;katika kukuza na kuuendeleza muziki wa afrika ya kusini na afrika nzima;na kubwa zaidi kwa kuwa Mama wa Afrika aliyetoa machozi hadi siku yake ya mwisho kupigania haki na usawa kwa waafrika wote duniani kote.Nilianza kuupenda muziki wake bado nikiwa kijana mdogo sana,na haukuisha hamu kwa kipindi chote cha maisha yake hadi alipotutoka Miriam Makeba.Nyimbo zake zilikuwa mchanganyiko wa nyimbo za Majonzi na Furaha.Za Hamasa na Ukombozi!Miriam Makeba kweli hatasahaulika daima!Afrika has lost an Ilustrious Daughter of the Rare Find!It will take decades to find another Miriam Makeba!Mzee Nelson Mandela atasononeka sana kwa kumpoteza Mama huyu.Utakuwa Msiba mkubwa sana kwa Winnie Mandela,kwa Jacob Zuma,kwa Thabo Mbeki na kwa Rais wa sasa wa Afrika ya Kusini na kwa wana wa Afrika ya Kusini nzima.POLENI SAN AFRIKA YA KUSINI.KAZI YA MUNGU HAINA MAKOSA.Tulimpenda sana Miriam Makeba,lakini Mungu alimpenda zaidi!Tuendeleze yote mema aliyotuachia Mama Makeba!
ReplyDelete