nani kasema ni barack obama pekee anayejua malavi davi baada ya kuchukua nchi???

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Tunamsubiri Kikwete tu naye aonyeshe mfano kwa waTZ:-)

    ReplyDelete
  2. malavi davi gani hayo?mikono imenyooka macho wamekodoa no feeling at all,kwanza wezi wa kura.

    ReplyDelete
  3. mzee mugabe naye miaka 84 anakiss my wife wake hazarani? hehehe basi makubwa haya,....ukiss mkeo hazarani hili unafanya mambo kwa wanachi wako sio kukiss tu,huku ngoma ngumu watu wanakuona mwanga tu

    ReplyDelete
  4. ndio mugabe hatakama viagra lakini na wewe umu tu mpe busu umpendae babaake

    ReplyDelete
  5. Sio dasturi za kiafrica hasa kwa mzee kama huyu, tusipende kuiga mambo yasio lazima, Lazima tupende mambo yetu na tu-keep our african healthy culture, tusikubali kuburuzwa

    ReplyDelete
  6. kudadadeki Jongwe! Jotooooooooooooooooooooooooo

    ReplyDelete
  7. Midomo ya wazee kuvumilia dubu ni ngumu

    ReplyDelete
  8. Tupende mambo yetu ya kiafrika ya gizani na vichakani ndio maana hata ukikutana na muathirika mgombani usiku hujui kwa kuficha ficha mambo tutakufa kweli kweli. Haburuzwi mtu ni uamuzi wa mtu kama wewe huwezi tulia

    ReplyDelete
  9. mbona unanishangaza wewe unayesema kukiss sio healthy. Mnaspice vipi mapenzi yenu na mumeo/mkeo?

    Bongo kuspice mapenzi ni mwanamke awe mpishi hodari na mwanammpe awe pochi lake limenuna. Hizo zote ni material things. Kissing and hugging it doesn't cost a dime.

    Unasema wazee kwanza ujue research imefanywa majuzi tu wazee wako so hot kuliko watu wenye majukumu.

    Na ukiviona vizee huku kila kona vimeshikana mikono, vinakumbatiana, vikiwa hotelini vinasaidiana kushika kijiko au hata kulishana kama mwingine mikono inamtetemeka. It is so real na ukiwauliza wana miaka mingapi kwenye ndoa yao wanakuambia 55 au up.

    Watu hawajui kuwa little things like saying I love you, hugging, kissing ndio vina keep ndoa iendelee.

    ReplyDelete
  10. Proud yourself and Keep healthy african culture

    Sikusema kukiss sio healthy bali tupende culture zetu, na sio maana usipo kiss hadharani hampendani bali ni culture zetu hapa africa, tunazo njia nying za Ku-spice mapenzi yetu hapa afrika (kama ujui uliza)

    Hao wanao kisiana hadharani uko ulaya na America na wanao ambiana I love U kila wakati ndio wenye divorce rate kubwa kuliko sisi wa Africa, kupika na kufungua pochi ni mapenzi pia kama mme/mke atakua na uwezu au wakati wa kufanya hivyo (this is division of labour)

    Mukhtasari kukis hadhari ni culture za kizungu sio za ki afrika tuache kuiga visivyo lazima, tupende na tujivunie utamaduni wetu, full stop.

    ReplyDelete
  11. Aheri ya talaka kuliko kuletewa mke mwenza na vibanda hasara kila kona

    Rate ya talaka kubwa lakini rate ya ukimwi bongo kubwa..... sasa lipi jema talaka aua ukimwi

    Mkeo sio lazima mjifichefiche tuuuuuuuuu

    Mwanamke kupendwa kwa ajili ya kupika tu huo ni utmwa na mwanamme kupendwa tu kwa ajili ana hela huo ni indirect prositution.

    ReplyDelete
  12. hapo juu umesema wanaokissana huko ulaya na america divorce rate iko juu, the only reason why divorce rate africa sio high nikwasababu watu wanaishi kwenye ndoa ambazo hawako happy at all,baba anaendelea na housegirl na anawatoto nje kebe kebe mama amestuck ndani analewa watoto, she is unhappy but cant leave her husband because she depends on him, all these equals unhappniess that is past down to the kids after seing their parents miserable, guess what!.....the circle continues, kids will grow up doesnt know any better and goes on on on.....its a vicious circle and new generation has to stop it!!!!! waafrica tumezoea kuficha ficha kila kitu mwishoe kama huyo aliyesema juu magonjwa yanaendelea kwasababu ya siri !!!

    ReplyDelete
  13. Jamani, uhuru, almuradi mtu hafanyi dhambi wala jinai mwacheni ajirushe.

    Divorce rate majuu ni kubwa kwa sababu ile sheria ya dini ya pingu za maisha "imefungwa mbinguni haifunguliwi duniani" hawaiamini katka madhehebu yao.

    Na bongo ndoa zinadumu kwa sababu ya imani za uoga, sidhani kama ndoa chungu iwekwe kwa sababu ya kudumisha pingu. Nadhani ndoa ni raha na raha ikiisha watu watengane wakajipange upya.

    Uwe unayeogopa ukewenza ni wivu tu umekujaa. Mbona arabuni ndo wanaongoza kwa uke wenza na wa mwisho kwa waathirika wa KIMWI?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...