mamodo wa ist afrika mashariki ambao wako kambini majiuzi walitembelea ofisi za zain ambako pamoja na mambo mengine walizawadiwa kanga za kampuni hiyo kabambe ya simu. shoto ni afisa habari wa zain celine njuju. mamodo hawa wako kambini kujiandaa na fainali za umodo zitazofanyika novembe 29 mwaka huu ukumbi wa diamond jubilee hall, dar

Celine Njuju........mmmmmmmmmmmmmmmmhh,si mchezo.
ReplyDeletejamani dada celine njunju kila nikimuangalia mate yananijaa mdomoni mwenzenu,napenda nijue kama yuko singo au okyupaid
ReplyDeletemichuzi kingilio ni ngapi tujia dae mapema kwenye hyo shoo?
ReplyDeleteDada Celine amependeza kuliko mamodo mhhh nashindwa jinsi ya kuelezea niishie hapo tu
ReplyDeleteKWELI WATU HUBADILIKA,Celine nimesoma nae darasa moja yeye alikua science huko arusha.alikuwa mwembamba kweli,umependeza bwana Celine sema usizidi hapo tena itakua haipendezi,Caro ypo wapi jamani dada yako?umefika mbali kama ulivyokuwa na akili darasani,niliwahi kusikia ukiwa mtangazaji sasa upo Zain....
ReplyDeleteCelline usiwasikilize hawa wanaokusifia. Hii ni midume isiyopenda kufanya kazi, inataka kujiwekeza kwako, Nyamafu zao.
ReplyDelete