Breking Nyuuuuz!
Shetani jekundu lachinjwa leo hapa U.K
Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya na Balozi wa zein,
Nimepitia pitia blog yetu ya jamii jioni yooote leo nikitegemea labda wadau wenzangu wangeripoti habari hizi, au labda wewe mwenyewe, lakini kwa mshangao pembe zote zimejaa ukimya!
Kwa hisani yako mheshimiwa nipatie mimi basi nafasi hii ya kuripoti yaliyojiri mchana huu hapa U.K na kwa kifupi tu ni kwamba wale shetani maarufu wekundu-Red Devils wamepambana na kisu kikali na kuchinjwa vibaya vibaya!
Jamaa hawa kumbe wachovu kisawasawa tu, tumewaendesha mchaka mchaka wameonekana timu ya kawaida sana.
Tena washukuru sana vijana machachari kina Adebayor na Van Persie walikuwa kando, vinginevyo shetani lingeumbuka vibaya zaidi.
Jamaa kaeni chonjo, bado tupo tupo!!
Wadau zifuatilieni habari katika ukurasa huu
www.dailymail.co.uk/sport/football/article-1084089
Ahsante sana
Mdau Leicester,UK
e bwana safi sana kwa kulea post mapema, umeniwahi tuswahiba, ilikuwa niandae nitangulize...ny ukwelli ni kwamba mpaka hatua hii GUNNERZ ni 'UNDERGROUND TALLENTS' yaani vijana ni NOMA. NASRI kawa sumu kali iliyotekeza RD MANU,ni mchakamchaka tu hata kama mlibwebwa na refa, na kazi ndo ishaanza hivyoooo. Kaeni mkao wa KULA BWAWA LA MAINI,manake na nyie mmezoea kubwebwa.....HABARI NDO HIYO MISUPU....USN'BANIE.
ReplyDeleteHahahahaa mlitegemea michuzi aweke newz za Arsena na Man u kweli?hamjui jamaa ye Looserpool?ingekuwa Liverpool kila dakika angewahabarisha yanayoendele.
ReplyDeleteN'way Heko kwa Arsenal lakini si kweli walimpeleka Man u mchaka mchaka kwani hata ukiwasikiliza Makocha wote wanakwambia kamwe huwezi kuona game kama ile tena maana ilikuwa ya mvuto wa kushambuliana kwa sana na Wenger alisema Man u hawakutumia vyema chance zao na wao walitumia vizuri chance zao na kuweza ibuka videdea.Game ilikuwa open sana na Pia Arsenal pamoja na Ushindi hawakujiamini kipindi cha pili kwani wangeweza kumfunga Man U hata gol 5 kipindi cha pili.
Rsenal sio underground jamani kwani Gallas,Silvester na Almunia ni above 30 years,au ndo watoto hao?au average ndio inawabeba wazee kwenye kundi la vijana?
Liverpool am happy for Robbie Keane maana watu wanamsema sana lakini ukweli jamaa ni bora kuliko Rooney ambaye yeye form yake ni OCTOBER tuu,apewe nafasi zaidi mtaona miujiza yake.
MICHUZI USIBANE maana weye ndo kawaida yako,wape watu haki jamani ooh....
Kwanza ningpenda kuwa pongeza Arsenal and Manchester united it was a fantastic game na kwa mara ya kwanza Manchester tumefungwa lakini haijaniuma maana mechi ilikuwa safi sana na mtu yoyote angeshinda anahaki.Goal la pili La Arsenal it has to be one of the best i have seen all most 20 passes then shoot,On the other Side Gary Neville needs to think of retiring he is the one who costed the game fergie needs to play brown or Rafael.Nice football played yesterday as manchester united supporter i have to admit Arsenal deserved to win for the 80minutes perfomance although united lost their shooting boots and looked more dangerous.
ReplyDeleteSome times you have to admit when bitten by a good team
William UK
United for life
HAYA MDAU WILLIAM MANU FOR LIFE,HEBU TUPE ZILE PREDICTIONS ZAKO ZAKO NA ZA FITINA WENZAKO AKINA ANDY GRAY NA GAZETI LAKO LA SUN KUHUSU ARSENAL NA TIMU LAKO LA MANU,VILEVILE KUWAKANDIA LIVERPOOL KILA SIKU WAKATI LIGI INAZIDI KUYOYOMA NA SIONI UKIKARIBIA JUU UNAZIDI KURUDI NYUMA,WENZAKO WANASONGA MBELE HIVYO CATCH THEM IF YOU CAN,NA USITUAMBIA NGOJA MKIJA OLD TRAFFORD KWA KUWA USITEGEMEE CHAMPION MATERIAL ATAKUJA PALE KUOMBA DRAW NA MKIFUNGWA NDIO BYEEEEEEEEEEEE.BY THE WAY LIVERPOOL KASHAMMALIZA MTU JANA 3-0 NA YUKO JUU,NO MBELEKO.
ReplyDeleteOCD
WEWE MICHUZI,UNAJUA MAANA YA BREAKING NEWS?UWE UNACHAMBUA NINI NI NEWS AMBAZO NI BREAKING,NA ZIPI ZA KAWAIDA.. SASA UMEWEKA BREAKING NEWS,KUNA MTU AMEFARIKI AU NCHI IMETEKWA NYARA?AAH! MNAUDHI BWANA!
ReplyDeleteHa ha ha! Sisi hatuna papara bahati yenu makombora yote yalienda nje. Hayo maji ya moto tu, ubaridi ukizidi mtapooza.Bado ligi inaendelea, ninukuu leo kesho utadhibitisha.
ReplyDeleteR u smart? so why not an arsenal supporter,huh? 'It was a game for those who love football anyway' it waz a winning despite missing players,guess what would happen if togolesse ade was there!!! viva the gunners..shamiezo-TC!
ReplyDeletegood gemu kwa nutral niliinjoy sana. manuu kiboko kwa mtaji huwo bado mabingwa. aldershort fo life
ReplyDeleteOCD
ReplyDeleteLiverpool bado wanakazi ,they have still not convinced me at all,Hujiulizi kwanini nimekubali chelsea wana uwezo wakushinda league maana they are superior to liverpool in every department thats y they have 25 goals i think!!! Manchester united at the moment Defence 2% and Attacking 100% Scoring goals absolutely rabbish 0%I am not sure why Tevez is not playing on the left wing instead of park or Nani.But any way we will get back to the top as long as our defence gets better.
All in all watoto wamecheza jana
William Uk
United for life
ndugu yangu kule ulaya,sughuli za ajira unayo yaani kazi za kupata rizki halali???...nyumba yako ya binafsi unayo au kukodi tu kwa halmashauri na kodi kulipiwa na serikali???gari unayo au yale mabasi tu?
ReplyDeletekweli wabeba maboksi mnatuaibisha kule ughaibuni...lakini bora mweko kule kule kwani hapo nyumbani thamani yenu (0)...yaani sifuri!!!
William,
ReplyDeleteLiverpool doesnt have to convince you that they are title contenders. Just sit down and relax, many more to come. Torres ndio huyo karudi na utaona goal difference inavyopunguzwa! Acheni kuzungumzia timu za wenzenu bwana, kufeni na matatizo yenu na timu yenu. Nani aliwaambia mcheze flowing football na Asernal? For the neutrals yes wali-enjoy but Fergie alikubali hilo kosa. Tactically he got it wrong. Na mna bahati mngepigwa hata 6 kama sio immaturity ya forward ya Gunners. Alama za nyakati ndio hizo angalia wazee wenu wanavyo struggle.....
Mdau UK
lfc