Haya tena wadau, ile party yetu iendeleayo sweden ya African Night itafanya mambo makali sana safari hii pale mjini stockholm,
sweden
club Redlinediscobar
Jumamosi tarehe 15.11.2008
hapo kuna kusherekea ushindi wa obama hivyo ni budi kwa kila mwafrika kujitokeza na kusherekea huu ushindi kwani ni kwa waafrika wote kwa ujumla na ni historia kubwa katika asili ya kiafrika.
kwa maelezo zaidi kuhusu kuja lcub gonga
Siku nikifika mjini kule Stockhom, nitafurahi sana kwa sababu nampenda sana Mary. Mary wangu ehee, ahhhaa Mary we! Hivi kweli huyu Mary wa Twanga pepeta yuko huko Sweden? Wimbo umesimama sana huu.
ReplyDelete