Mwanamuziki mkongwe nchini Afrika Kusini Miriam Makeba ambaye alitamba sana na nyimbo zake kadhaa ukiwemo ule wa Malaika amefariki dunia huko Italy kwa ugonjwa wa moyo.
Mungu alaze roho ya marehemu mahali pema peponi-AMEN

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 22 mpaka sasa

  1. Nilikuwa Nikimzima sana huyu mama nyimbo zake na yeye mwenyewe utakumbukwa sana m/mungu ailaze roho ya marehemu pahali pema peponi. Amin

    ReplyDelete
  2. "Hapo zamani mama, hatukuwa hivii..."

    Rest in Eternal Peace Mama Africa

    ReplyDelete
  3. kalale mahali pema peponi mama.Umefanya mazuri sana duniani tena bila ya kashfa kama walivyo wasanii wengi.

    Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake nihimidiwe milele

    Mangi wa K'koo

    ReplyDelete
  4. Utakumbukwa milele,
    Ni kwa miamba kama wewe,kwa hakika Afrika ina ya kujivunia,
    Ulikuwa zaidi ya mwanamuziki, uliimba zaidi ya muziki,
    Ni wachache kama ninyi mlioupa maana muziki zaidi ya mapenzi, zaidi ya yanayojiri, bali pia kuwa fimbo ya mabadiliko, jukwaa la haki na wingi wa mafunzo,
    Ni zaidi ya tambo za malaika, ni zaidi ya milio ya patapata,
    Ni gwiji lililoanguka,
    Tangulia Mama Afrika, kapumzike kwa amani UA letu lililonyauka

    Kwa Bwana ameumba, naye Ametwaa,
    Tunakupenda Miriam, tutakukumbuka binti wa Makeba
    UMKHOTO WE SIZWE

    Matukio Aranyande Chuma.

    ReplyDelete
  5. What a loss for our continent! She was one of Africa symbol who represent us all over the world through her music and she sang in kiswahili as well!!
    May her soul rest in peace
    Mdau, UK

    ReplyDelete
  6. uliing'arisha afrika popote ulipopita, mavazi yako na mwenendo wako yalidhihirisha kweli wewe ni mwafrika, uliimba na kutoa hisia zako popote ulipoenda juu ya ubaguzi na utambuzi Duniani, kweli ulikuwa mama wa kuigwa na role model kwa walio wengi. Mungu amekupenda zaidi. Tutazidi kukukumbuka, Amen.


    Mvumo Aaron Balati

    ReplyDelete
  7. ustarehe katika amani Mama Afrika!

    ReplyDelete
  8. Alishachoka mama wa watu. Tatizo ni kuwa kila kifo kina sababu. Lakini alishaisha kabisa. Akapumzike

    ReplyDelete
  9. MWENYEZI MUNGU AMLAZE PEMA PEPONI
    Innaa-lillah wainna-illah rajun.

    ReplyDelete
  10. MWENYEZI MUNGU AMLAZE PEMA PEPONI
    Innaa-lillah wainna-illah rajun.

    ReplyDelete
  11. Amani ya milele umpe, ee Bwana
    Na mwanga wa milele umuangazie

    r.i.p miriam makeba

    ReplyDelete
  12. MAY OUR DEAR GOD REST MAMA MIRIAM MAKEBA'S BEAUTIFUL SOUL IN PEACE. AMEN!I WILL ALWAYS LOVE YOU AND I WILL NEVER STOP LISTENING TO YOUR BEAUTIFUL VOICE ESPECIALLY YOUR SONG HAPO ZAMANI!!! REST IN PEACE MAMA AFRICA

    ReplyDelete
  13. Anon wa 3:16 unaongea pumba kabisa, au ni kwasababu si mama yako, 76 bado anadai kabisa unasema alishachoka, hakuna mtu anaependa mtu aondoke katika age hiyo, pia isitoshe hakuwa amechoka kwani kama alikuwa anaweza kuperform then inamaanisha alikuwa na nguvu zake. Acha uanga hakuna cha kupumzika, ni pigo kubwa mtu akiondoka no matter how aged they are. Grow up!!!

    ReplyDelete
  14. Kweli watu wana roho mbaya..
    Wewe anon 3:16PM una maana gani kwamba watu wakizeeka wafe tu.. That's rude and you need to think before u run ur big m... Mama alikuwa na miaka 76, kwa Africa mtaona amechoka ila mtu kama huyu ambaye alikuwa bado kabisa; she was still performing.
    Mungu amulaze mahala pema peponi, amen.

    ReplyDelete
  15. ULIKUWA MALKIA WA MAFUNZO,NA SIO MALKIA WA MIPASHO, ILIZINGATIA UTAMADUNI WA MUAFRICA, TUTAJITAHIDI KUFUATA NYAYO ZAKO. RP MAMA. BUSH QUEEN

    ReplyDelete
  16. So sad. May God rests Miriam Makeba's soul in eternal life. Amen

    ReplyDelete
  17. So sad. May God rests Miriam Makeba's soul in eternal life. Amen

    ReplyDelete
  18. So sad. This was most talented singers of our generation. Her songs brought so many smiles to so many people over the years.

    She will be remembered for a long time.

    This just remind me that one day your here and the next day your not...live every day as if it were your last and don't forget to show and tell your loved ones how much you love them and care for them everyday.

    My thoughts and prayers go to his family and friends.
    May she rest in peace

    ReplyDelete
  19. WE WERE SO PROUD OF YOU MAMA AFRICA,BUT GOD LOVED YOU THE MOST.
    ITS ONE OF OUR WORST DAY FOR AFRICANS,WE WILL MISS YOU FOREVER MIRIAM MAKEBA,AND WE WILL PASS YOUR GOOD MEMORIES THROUGH OUR ALL GENERATIONS AS OUR PARENTS DID.
    MAY YOUR SOUL REST IN ETERNAL PEACE.AMEN

    DANNY MWANDUPE

    ReplyDelete
  20. unfortunately that is the road everyone Must travel in life here on earth. You just don't want to be next. May her soul rest in peace.

    ReplyDelete
  21. Miriam Makeba what a Music Legend Africa has ever produced in our lifetime?The Voice of Freedom,Hope and Faith!Mama Afrika!Uligeuzwa Mkimbizi wa Kisiasa na Makaburu na kuishi uhamishoni kinyume cha utashi wako kwa zaidi ya miaka 30 na bado hukukata tamaa!Hadi Mandela alipoachiwa huru na wewe ukarudi nyumbani lakini ukimkuta Mama yako Mzazi alishakufa siku nyingi bila ya wewe kuwepo!Uliamsha wengi kutoka usingizini kupitia Tungo zako na sauti yako Tamu mithili ya asali!Afrika ilitambulika zaidi ulimwenguni kupitia harakati zako za Uimbaji kwa hisia kali za kimapinduzi na upendo wa hali ya juu!Afrika imepoteza Tunu adimu kupatikana katika kizazi chetu!Tulikupenda sana Miriam Makeba.Tanzania ilikupenda sana.Nelson Mandela alikupenda sana.Afrika ya Kusini ilikupenda sana.Afrika nzima ilikupenda sana.Mama wa Afrika.Lakini Mwenyezi Mungu alikupenda zaidi!Pumzika Mama,pumziko la amani,umefanya kazi kubwa sana barani afrika na dunia nzima,hukuchoka,hukukata tamaa,uliendelea na kazi yako hadi siku ya mwisho Mwenyezi Mungu alipoamua kukuita na kukupa mapumziko mema ya milele!Daima utabakia mioyoni mwetu.Hatutakusahau Daima!Miriam!

    ReplyDelete
  22. Kweli ulikuwa mama wa afrika kwani mavazi yako yalitofautiana na wasanii wengi wa kiafrika, wengi wao wanavaa nguo za nusu uchi, Kwa kheri mama wetu, tulikupenda lakini mungu kakupenda zaidi, tutazidi kukumbuka. mungu ailaze roho yako mahali pema peponi. Ameni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...