



The two last woman standing during the finals of Miss Earth 2008 was Karla Henry of the Philippines and Miriam Odemba of Tanzania. The Winner - Karla and 1st runner up Miriam!
All contestants had to answer one question: If you could meet the new US president elect Barack Obama what message would you give him about the environment.
Further results: Second runner up Abigail Romo of Mexico and third runner up was Tatiane Alvez of Brazil.
Thank you everyone for your support and we expect to see bigger support from all of you for Miriam and for Miss Universe Tanzania pageant.
Tanzania oyeeeeeeee!
Shoga mvuto unao, c mchezo, umeshinda kwa haki mwanadada. hongera sana. BUSH QUEEN
ReplyDeletenice skin tone right there.
ReplyDeleteYalisemwa mengi tu, eti hatafika popote, wako wapi sasa wale waliokua wanasema?
ReplyDeleteTZ hoyeee
Hongera dada
Hongera Miriam.
ReplyDeleteWanasema msichana mzuri utamtambua ama akiwa ametoka kuamka, au akiwa analia, au akiwa anakula muwa.
Huyu mbona alikuwa mzuri sana na mvuto wa hali ya juu kabisa kwa hapa bongo! Umeenda wapi ule mvuto? Au ndiyo uzee wenyewe?!
ReplyDeleteKama hivyo kweli wanawake ni maua. Ukisahau watering withers out!
Kajitahidi , ingawa alikwama kwama, kama yule Miss Brasil .http://www.youtube.com/watch?v=bRukiAuAq08
ReplyDeleteSa huyo mwingine nae alikuwa analia nini???
ReplyDeletehongera miriam. jamani ngozi nyeusi ni nzuri sana embu angalia anavyogara na weusi wake, kina wanaojichubua embu angalieni! jifunzeni toka kwa mariam!
ReplyDeleteBig up Miriam Odemba. Safi sana unaitangaza nchi yetu. Hongere sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
ReplyDeleteTanzania Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh
Hongera mamy,binti mrembo na unasifa zote za kushinda,am proud of u,u dsv TO BE MISS EARTH FIRE ,tunakusubiri nyumbani,ni wa pongeze pia compass comunication chini ya dada yetu anaye inua vipaji vya wasichana nchini MARIA SARUNGI,kwa kumuandaa Mirium vizuri tunategemea changes ktk ulimbwende Tanzania,TUNAWEZA BWANA.CONGRATULATION AGAIN MIRIUM ODEMBA.
ReplyDeletehivi hawa kamati ya miss tanzania hawajifunzi tu kwa wenzao? ,experience exposure understanding matters a lot in these beauty contest ni hayo tu
ReplyDeleteau anakula muwa???hahahahaaaaaa
ReplyDeleteila dah odemba kifaa kudadadeki basi tu,,,ila sijui tabia yake iko km uzuri wake???
Hongera Odembaaaaa!!!!!!! Mungu ibariki Tanzania. Kazi bado ni nzito kwenye hii fani hata hivyo. Soka, ngumi, kukimbiza upepo n.k bado juhudi za makusudi zinahitajika
ReplyDeleteKamati ya Miss Tanznia ina haki zaidi maana inajumuisha wasichana wengi toka TZ kote.
ReplyDeleteKamati ya Maria Sarungi yenyewe huchagua walio na vigezo wachache na ndio wana wakilisha Taniania .Kwa njia hiy ni rahisi zaidi kufanya vizuri ingawa sio haki kw akila mrembo aliye TZ .
Nadhani kamati wa Miss TZ iko juu zaidi maana ina wapa fursa wengi kushiriki na ni ina usawa zaidi.
Mashindano haya ya Miss Earth sio that popular kihivyo ,ingawa nampongeza sana Miss Mirium maana katuwakilisha vizuri, ila na chosema bado Miss World na MIss Universe yako juu zaidi na yana angaliwa na watu wengi zaidi na ni makongwe zaidi
miriam big up kwa saaana, nnachoweza kukwambia ni kwamba, hakuna shindano dogo!!!!! Hata hiyo miss earth ina competition coz inajumuisha warembo dunia nzima kama inavyofanya ms world!!!! so, umefanya wonders mama, nakufagilia sana, hapo umewapiga bao wazungu wote hao,wewe ni mkali!!! tunakungoja home mama!!!! TANZANIA OYEEEEE!!!!!Odemba kama OBAMA!!!!
ReplyDeleteHeri kidogo kizuri, kuliko kikubwa bomu. Maria Sarungi, you go girl! Miriam Odemba, achionade nyako! You are beautiful. Pageant iwe popular au si popular, unawafunika by far! Hongera. Kamatiya Miss Tz you have a lot of house cleaning to do before you go to the standards of Miss whatever!
ReplyDeleteANON 2:35pm!hivi unafuatilia vizuri mashindano ya urembo duniani au!?na pili umefuatilia vizuri mashindano ya miss Universe Tanzania?!unajua warembo huwa wanatoka wapi!huko unakosema wanachaguliwa wenye uwezo tu,una uhakika!?na khs Miss EARTH; unajua kuhusu mashindano makubwa duniani!?na pia unajua top five ya mashindano makubwa duniani!?kutokuwa popular labda ulipo wewe tu.unatakiwa usifie pale panapostahili,mtuakifanya vizuri mpe award yake bwana.CONGRATULATION MIRIUM ODEMBA AS WELL AS COMPASS COMMUNICATION...safiiiiiiiiiii!wadau wa urembo nchini ni wa kati wa kuamka...
ReplyDeleteAnony nadhani una kajibifu na Miriam, naomba kaweke pembeni umsifu, kusema kweli kashinda kihalali, hata ukiwa nadonge hutobadilisha matokeo. tunamuombea afike mbali zaidi.
ReplyDeleteHongera sana Miriam!Kwakweli umejitahidi sana na umetuwakilisha vizuri sana! Nampongeza pia Mwandaaji Maria Sarungi kwakweli anajitahidi sana kuwaandaa na kuwatoa watu wake! Mimi nilikuwa nafuatilia kipindi fulani Maria Sarungi alichokuwa akikiendesha kwenye TV moja huko Bongo kinachohusiana na mambo kama hayo kwakweli unajua tu huyu mtu ni 'professional'! Si vibaya Miss Tanzania wakamtumia au kumshirikisha Maria Sarungi katika kuwaandaa Mamiss wetu. Naomba radhi kama ushauri huo utakuwa kero kwa wengine, au kama umepitwa na wakati!
ReplyDelete