Mzee Michuzi,
Namtafuta dada anayeitwa Heveronika Msaki aliyesoma Machame girls an kisha kujiunga na Mbeya Technical College.
Kwa muda alikuwa anaishi na nduguze pale Temeke kwa Azizi Ali Dar es salaamTafadhali anayemfahamu au mwenye contacts zake aniandikie:-
Ahsante sana.
Mdau
Anyone who knows a person called Ladyness Mwasalyanda(graduate from Udsm-Bcom, 2007) please i kindly ask u to contact me
ReplyDeletebmwasaga@hotmail.com or bmwasaga@yahoo.co.uk
Thanks in advance
Bariki