Habari Bwana Michuzi,
Naomba nipate msaada wa kumtafuta rafiki yangu Daudi Shekimweri, tulikuwa wote shule ya msingi Zanaki Primary - Dar. Nimepotezana nae toka mwaka 1984. Tafadhali yoyote ajuae nitampataje swahiba wangu huyu.
nitashukuru sana-tulikuwa marafiki sana.
anitumie kwenye email :
mkobole@hotmail.com
1984 mpaka leo hamjaonana? Jihesabu una bahati sana kuweza hata kuandika hii message. Majaliwa ukimpata. Maana kama rafiki yako miaka yote hii na jinsi mawasiliano yalivyo rahisi sasa na hamjawasiliana....!?! Kila la kheri ukimpata.
ReplyDeleteanon wa 1 acha kuchonga, u should thank tha guy hata kaweza kumkumbuka mwenziwe
ReplyDeleteHuyu jamaa unayemtafuta yuko dar,nimekutumia namba yake kwenye email yako.hope utaweza kumuona soon dnt worry!
ReplyDeleteAnnoy wa 3.
ReplyDeleteSafi sana ulivyofanya. Na mimi nitakuja kumtafuta rafiki yangu wa siku nyingi humu.
Annoy wa 1; ACHA USHAMBA.
Huyo jama mbona tumemzika siku nyingi sana. Pole sana ndugu yangu.
ReplyDelete