wadau Munir Shemweta Kulia) na Abdulwakil Saiboko wakiwa na mai dota wa Munir, Khairat, mara baada ya kula nondozzz zao za Shahada ya kwanza ya Mawasiliano ya Umma katika chuo kikuu cha waislamu Morogoro wikiendi hii.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

 1. Mashaalah...hongera na pongezi nyingi baada ya kazi nzito yakujipatia shahada hii ya kihalali...Subhanallah!

  ReplyDelete
 2. Mkuu Munir hongera sana tulikuwa wote Magomeni mikumi, umefika mbali.fanya mpango uje UK kufanya masters.
  Hongereni MUSLIM UNIVERSITY OF MOROGORO(MUM.

  ReplyDelete
 3. vipi kaka zangu , hongereni sana wapi Jabir, Jamali na wengine kina Ramadhan, Baisa vipi walipata kwikwi ya makamuzi nini? hongereni sana, mmependeza. munir hongera kwa my douter wako

  ReplyDelete
 4. chuo cha waislamu!!!!!!!!!!!!!!

  ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...