inawezekana



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. life is so wonderful. you never know where it can take you. you could have the same credentials as Obama and end up no where.

    ReplyDelete
  2. (AP) Democratic Sen. Barack Obama and his wife, Michelle, made $4.2 million last year as widespread interest in the presidential candidate pushed the sales of his two books.

    Kutoka kijijini kwa bibi ukiwa denti huna dili na sigara yako, to kutengeza hio hela hapo juu kwa mwaka mmoja, to kuwa rais wa dunia...what a story.

    ReplyDelete
  3. Ni kweli anything is possible! Cha maana ni kufuata moyo wako na fanya unachopenda.

    Watu wengi wana lost kwa vile they dont want to follow their passion. Look at President Obama. Jamaa alipomaliza shule Columbia University alipata kazi Wall Street kama Research Assistant na baadae wakam promote kuwa Financial Writer. Lakini moyo wake ulimwambia mengine na aka resign that position and akaenda kufanya kazi kama Community Organizer in Chicago kwa malipo madogo sana. Watu wengi walimshangaa lakini alifuata moyo wake.

    So money is not everything jamani. Pesa itakuja tu ukifanya unachopenda. Tuache kufuata mkumbo :)

    ReplyDelete
  4. Thats why USA is called the land of opportunity. There is no where in this world a place or country that you can think what you want to be or do and became what you thought to be.

    ReplyDelete
  5. Du hapo naona Obama alikuwa hata pesa ya sigara anavuta gozo haha kijana abarikiwe katoka mbali na kijijini kwao bado wana pati tu naona pati zitaendelea mwaka mzima lakini jamaa wanaukabila kinoma kule naona wanasema yeye ni mutu kutoka luo tribe hivi angekuwa mbongo watu wangetaja hata katoka kabila gani manake waluo wanawatambia makabila mengine huko kenya hahah kazi ipoo

    ReplyDelete
  6. Bahati kubwa aliyoipata Obama ni ku na US citizenship plus kulelewa na bibi na babu wazungu ... na exposure yake Kenya, Indonesia na Kwingineko , hii ilimjengea upeo fulani ambao ni watu wachache wanao na vile vile uwezo wake wa kuongea na kujieleza vizuri umempa tafu sana bila kusahau brain yake

    ReplyDelete
  7. Unajua watu bado wanadhani Obama kakulia Kenya tena kijiini na hizo picha wanadhani ni alikua anaishi maisha hayo.

    Obama hajakulia Kenya , akenda Kenya mara tatu tuu, na hana uhusiano wakaribu sana na fammilia yake ya Kenya,ingawa anawatambua.

    Hiyo picha ni Obama katembelea Kenya likizo tuu, sio kama alikwu anaishi hapo, na hajatoka kwenye maisha ya shida kama mmavyo dhani .

    Obama ni mzaliwa wa marekani , hajazaliwa Kenya. ukiwa Mmarekani wa kurithiswa urai huwezi gomeba Uraisi, lazima uwe umezaliwa marekani , huyo bibi wa Kenya mnaye muona ni Bibi wa kambo, sio bibi wa damu.

    Obama na baba yake hawajakaa pamoja kwa muda mrefu , Obama zaidi kalelewa zaid na fammilia wa kizungu(haswa bibi yake) baada ya mama yake kurudisha toka Indonesia alipo kuwa wakiisha pamoja na mama yake na baba wa kambo.
    Again, Marekani unaweza kuwa yeyote kama una msimamo wako ambao utakubalika na wengi, mambo ya kusema wazungu wabaguzi ilikwua ni kujihisi kwa wafrica kutojiamini, siku zote nilikua na sema ubaguzi ni wewe mwenyewe unavyojiona na kujidhani, (je utatofautishaje Mzungu asiye kupenda sababu yeye hapendi watu na mzungu mbaguzi) huwezi, so sio kila mzungu anaye ku treat vibaya ni mbaguzi
    Wazungu ni watu kama sisi tuu na wana feelings pia, na ndio maana mimi ni supporter wa McCain sababu najua Uzungu sio sababu ya kuwa mbaguzi na wazungu wanajaribu kwa kiasi kikubwa kupinga na kuweka usawa kuliko watu wasio wazungu.
    Juhudi zote za kumfikisha Obama hapo alipo na pia hata juhudi za kuikomboa South Africa zote lichangiwa na mchango mkubwa toka Kwa wazungu nakufikisha palipo

    Obama hakuibuka tu, alijianda na amekuaj wakati muafaka, hakuna cha ajabu san kwa yeykushinda, ni imekua right time tuu.nao ni utandawazi, ulioinganisha new generation ya USA.

    ReplyDelete
  8. OBAMA NI WA KILA MTU !OBAMA HE IS THE BEST HE IS FOR EVERYONE
    GO OBAMA WE SUPORT YOU
    msemakweli HAKIM

    ReplyDelete
  9. Mdau wa 6:14 Nakupa pole sana umejitahidi sana kuwatetea wazungu!Nimefuatilia mawazo yako naona du umeguswa kweli kwa MacCain kukosa 'urahisi'!Pole sana lakini sisi tumefurahi! Jamani nilichogundua kama ilivyo desturi yetu waafrika mgeni akija tunasafisha uwanja na tunapapalia majani kuzunguuka nyumba!

    ReplyDelete
  10. Mchangiaji aliye toa history ya obama kuwa hakuzaliwa kenya na nilazima uwe mzawa wa mareckani kugombea uraisi. Jamaa aliyetoa hizo comment ni KICHWA yaani anaakili na anajua mambo. Si wazungu wote ni wabaguzi, kama mnasema wabaguzi na ndio hao hao walio muweka alipo obama. Black population ya U.s.a ni Less than 14% wanazidiwa hata na waspanish,asian ni less than 4%. NANI KAMPIGIA KURA OBAMA? Ni white fox.Harafu unaniambia wabaguzi. mbaguzi wewe.

    Anyway, Obama ni muafrica ngozi tu, malezi ya obama ni under white people, mama yake bibi yake na babu yake. Defeneltly obama atabehave kama mzungu. Na kwa taarifa yenu angelelewa kama wanugu asinge kua alipo. Obama ni point 5. Shombe, yaani two genes hapo.He is geneticaly white and black.

    Harafu hawa ndugu zetu wakenya minaona ni mapunguani. Obama kawa rais unaweka holiday siku mbili! WHAT! hata siku moja hawatakiwi kufanya holiday. It's non of their bussnes wanaacha kufanya kazi ili wacatch up na wazungu au na huyo obama wanaweka holiday. UVIVU TU.FANYENI KAZI.Marecan wameendelea kwa ajilio ya kufanya kazi, pumbafu.

    kwa kifupi mi ni republican nasupport republican, however obama kashinda, congrats. Kafanya good job i am proud of him. He is smart guy. I wish him good luck to lead us. No doubt american politic is civilized republican will work with him. Listen to Mccain's loss acceptance speech.

    IT IS WHAT IT IS.

    ReplyDelete
  11. kenya ni vimeo tuu siku zote,nimekaa nao awa jamaa yan wanauendekeza uzungu adi kichefuchefu,eti siku 2 mapumziko ili iweje?Kibaki zinga la kituko no wonder kang'ang'ania urais kwa kumwaga damu.
    yan nchi maskini afu mnalala 2 dayz,,uwiiiiii
    mayb obama atashusha ubwelele kenya au kuwaingiza ikulu,,,lets see the movie (tom n jerry)

    ReplyDelete
  12. Mwanakijiji wa chadema nae atagombea useneta? au karatasi hazijatulia?
    kama marekani ni land of opportunity kwanini mwanakijj anataabika?
    ni mimi chinga wa jamii forums.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...