Model RANGE ROVER
Year 2000
Type: Station Wagon 4 X 4
Mileage: 60,000 kms
Interior: Leather
Colour: Deep Dark Green
Petrol Engine
Extras : AC, CD Changer, Stereo, ABS, Sensors, Air Bags, Reclining Seats, Power Windows, Cruise Control, Automatic Elevation Control, Automatic Diagnosis System viewed on the dashboard panel.
CONTACT: (+255-754-411148)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

 1. Kaka tunayaogopa hayo siku hizi.
  Ukionekana nalo hilo hawakawii kukuambia we ni "NANIHII", na kesho yake unaweza kujikuta "KISUTU" bure.
  Aka!

  ReplyDelete
 2. Bado hilo tangazo ni pungufu sema inatembea kilomota ngapi kwa lita moja ya mafuta baada ya hapo tutawasiliana mdau Denmark.

  ReplyDelete
 3. "Bado hilo tangazo ni pungufu sema inatembea kilomota ngapi kwa lita moja ya mafuta baada ya hapo tutawasiliana mdau Denmark."- Usually petrol engines models of that sort of cars are not less than 4000cc´s with v-type engines of 8 to 10 cylinders. For example a similar RANGE ROVER SPORT 4.2 V8 Supercharged 5d Automatic consumes 15.90 litres/100km on a motorway.

  ReplyDelete
 4. Hatutaki kukupigia kuuliza bei, sema ni bei gani?

  ReplyDelete
 5. Wabongo bado tunabiashara za kihindi kweli.

  Kwanini usiweke asking price? Yaani hatujui tu ukiweka sking price wengi tutakua na moyo kuwasiliana na wewe. Si ajabu hela unayotaka kwa gari yako iko kwenye price range ambayo naweza kuafford lakini kwa vile hamna hata kitamanisho ndio maana biashara huwa zinalala.

  PUT ASKING PRICE kama kweli uko serious kuuza gari yako

  ReplyDelete
 6. Duh yaani Rwekaza wa EPAs kakutuma uuze mojawapo ya magari yake nini? Haisaiidiii kulipa dhamana, wakili wala kufuta ushahidi!! Umenunua gari kubwa umeshindwa kulimudu sasa unaliuza...bei gani? wabongo be realistic mjikune mikono yenu inapowafikia-Kweli web ya michuzi imekuwa na mambo!!! namimi ntakutumia meli yangu uniuzie kupitia web???

  ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...