niko vekesheni fupi hapa kiromo view resort iliyopo kilomita 10 kabla hujaingi bagamoyo.
pamekucha....
huwezi amini kama upo bagamoyo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. Eh bana Eeeh...Hii Inapendeza Sana...Kaka Michuzi Siku Zote Uwa Una Have Good Time After Workin Hard!

    Another BYABUSHA.

    ReplyDelete
  2. Sikuwezi wewe. Ila fulanas leo hakuna. safi sana. Siyo kila siku unaibuka na lile fulana lako na mwaka 2000 lenye strips. Nikiliona huwa nasikia kichefuchefu sana kama vile nimeona dampo la Tabata.

    ReplyDelete
  3. Naona upo kwenye mitaa yako(Wilayani kwako) si ndo maeneno hayohayo au vipi Mkuu wa Wilaya ya Tegeta? Haya Bwana mkubwa endeleza libeneke...!!!

    Chibi.

    ReplyDelete
  4. Ongera michu,siku mojamoja vekesheni za bongo sio mbaya sio Sudan tu!!!
    Mdau, UK

    ReplyDelete
  5. hii kitu imetulia,yaani mwake kabisa.

    ReplyDelete
  6. michuzi ebu nipe accomodation cost za huko nijipange wekend moja nile na shemeji yako... pamenivutia mno kaka.

    ReplyDelete
  7. Duh kaka michuzi ina maana ukisema upo vakesheni ni kweli maana kama ninavyokujua mimi hapo katika hiyo hoteli umelipiwa sasa usemeje upo vakesheni na ndio maana hata gharama zake huwezi jua fasta mpaka uende reception kuomba rate card zao za bei hahahahahahahahaha

    ReplyDelete
  8. Mmiliki wa hiyo Hotel anaitwa Issa Michuzi

    ReplyDelete
  9. Michuzi kamera yetu alikufuma ukiwa na nyumba ndogo ukila maraha

    ReplyDelete
  10. Hongera sana kwa 'tangazo' la Kiromo au ulipata vekesheni ya bure? Natumaini hakuna ka mkono ka EPA hapo! Maana siku hizi tukiona mtu anaibuka na majumba inabidi tushtuke kidogo... wa TZ tumeshaumwa na nyoka...

    ReplyDelete
  11. Kiromo hotel imetulia kichizi
    safi sana. umenikumbusha mbali michuzi . mdau uk

    ReplyDelete
  12. Bongo kumbe kuna Hotel nzuri zenye mandhari murua!!!Mbona hawajitangazi,maana kwa sisi tulio mbali na Bagamoyo ni vigumu kujua yote haya.Wahusika promo zaidi inahitajika

    ReplyDelete
  13. ...Na kweli huwezi kuamini kama kweli upo Bagaboyo, Tanzania!! Bongo kweli Tambarare.....!

    ReplyDelete
  14. mbona upo peke yako wife vipi?

    ReplyDelete
  15. KODI ZETU HIZO

    ReplyDelete
  16. Kweli michuzi uko juu, jana nimekuona kiromo, mimi naingia na wewe unatoka na gari ndogo.

    ReplyDelete
  17. Michuzi utakuwa umeenda kwa waganga Bagamoyo ndo umeamua kujipumzisha

    ReplyDelete
  18. TUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU
    MACHIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
    VEKESHENI.

    mi nasema we FISADI.LOL

    ReplyDelete
  19. Mi namtetea jamaa sio fisadi, anakula umaarufu wake.Mbali na ubalozi na Ukuu wa naninihiii.
    mchizi hana noma halafu yuko simpleeeeee. Shavu shavu dodo mtu wangu. tehe teehhh bongo tambarale

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...