Bingwa wa mabara wa kickboxing mdau Japhet Kaseba (mzula mwekundu, pili kulia) akiwa na baadhi ya watanzania waishio japan ktk kumpa support kabla ya pambano lake siku ya jumapili nov 9 2008 ktk ukumbi wa ARIAKE ARINA uliopo odaiba ktk jiji la tokyo.

kiingilio ktk pambano hilo kitakuwa ni yen 5000 na usafiri ni yen 1000.

Watanzania wote mnaombwa kuhudhuria kwa wingi na kumshangilia mtanzania mwenzetu ili aweze kuibuka mshindi na kuitangaza nchi yetu ktk nyanja hii muhimu ya michezo.

Wadau waishio kanagawa usafiri utaondoka saa saba kamili sehemu ya kukutana ni Erica restaurant Odakyu sagamihara na kwa maelekezo kamili wasiliana na wahusika
Taji - 080-6563-7879
khalid - 080-6612-4622
au
ktb mwenezi Mweri- 080-3532-4043
watakupatia maelezo kamili

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Nawapa big up wabongo wote wa japan kwa kuonyesha uzalendo wa kwenda kumuunga mkono msela wetu kaseba.Zamani ilikuwa sio rahisi kusikia watanza wa ughaibuni wanafatilia habari za wanamichezo wetu walioko nje lakini nyinyi mmemtafuta Kaseba.

    Keep it up sisi tulioko bongo tunasema Much Love to You All!!

    ReplyDelete
  2. If Kaseba is looking to raise his fight skill and become a full dimension he needs to get into MMA style not kick box only; I’m wishing him the best for his fight tomorrow.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...