And we thought our jobs were hard.... see what happens in Zimbabwe ....
A Bank clerk summing the total daily deposits amount in figures and words
$384 943 621 753 891 453 665 264 221 439,81
That is three hundred and eighty-four Octillions, Nine hundred and forty three Septillions,Six hundred and twenty-one Sextillions, Seven hundred and fifty-three Quitillion,Eight hundred and ninety-one Quadrillion, Four hundred andfifty-three Trillion,Six hundred sixty-five Billion,Two hundred and sixty-four Million,Two hundred and twenty-one Thousand,Four hundred and thirty-nine dollars Eighty-one cents.....
Mdau
BK
Wadau duh hii kali sana mpaka unasahau kutaja figure hiyo .... lakin si nilisikia wamepunguza 10 zeros kwenye amount zao?? Hii inafanyaje kazi wadau kwani bado sijaipata fresh. In the First Time nakumbuka 1 TZS = 16,000,000 Zim Dollars ila kwa sasa 1 TZS ni 20 Zim Dollars. Kwani kuanzia 1 August 2008 serikali ya Zimbabwe walibadilisha currency yao kutoka ya zamani ZWD 10,000,000,000 kuja ya sasa ambayo ni ZWD 1, sasa sijajua hii inafanyaje kazi waungwana?? Nisaidieni wakuu ....
ReplyDeleteHiyo ni sawa na dola ngapi za Marekani? au Shilingi ngapi za madafu?
ReplyDeletehaha huyu mtu akiitwa mugabe kaiharibu hii nchi tin coke milion tatu ukitaka kununua mafuta ya gari lazima uwe na vocha na vocha zenyewe kuzipata deal ukisha zipata vocha uwanze kutafuta mafuta kila kituo hakina wese kiasi cha kupoteza muda tu ila kuna sehemu wanauza mafuta kwa usd ni kiasi cha kumtesa raia wa kawaida nili drive tokea bongo kupita hapo tokea sauz nimejuta hakuna hata chakula madukani restaurant ndugu zetu wanateseka kweli hawa na mungu kawashushia balaa ya kipindupindu sasa hospital hazina madawa hapa sauz wapo wazimbabwe zaidi ya milion tano ndio sababu wazulu wanachukia watu wa nje chanzo ni wao hii imekaaje watu bado wanampigia kura tu africa tuna muda mrefu upo mbele yetu kupata maendeleo nchi ilikuwa bomba yote imeharibika mungu awasaidie watoke ktk janga hili dala dala milion moja nauli sio kulinunua
ReplyDeleteMimi wala siumizi kichwa
ReplyDeleteZimbabwe inflation is more than 300 million per cent = 300,000,000+% = inflation > 300,000,000.%
ReplyDeleteWadau mimi sitaki kuonekana na roho mbaya ila nina uchungu sana ninavyoona hali kama hii.
ReplyDeleteLeo hii nikisikia Mugabe amepigwa shaba na kuondolewa nitasherekea mpaka lyamba. Just imagine the atrocities zimbabweans are going through...
Ngumu sana hii, Afrika tunaenda wapi?
ReplyDelete